Kafulila si mbunge wa mahakama tena

Kafulila si mbunge wa mahakama tena

Chadema wakiweka uchagga na udini pembeni suala la zitto jepesi sana

mkuu suala la zito limewaharibia sana chadema.sasa hivi ccm hawana mpinzani tena.mpinzani mkuu wa chadema ni zito.na hili suala la zito sio la kuisha leo.ccm sasa ndio njia nyeupee kuelekea ushindi wa kishindo mwakani.kama mtu mmoja tu chadema imemshindwa itawezekana vipi kuongoza watu milion arobaini?
 
Huko mbeleni wana kgm watasema Chadema kwa heri...

Kigoma ndo nini? unadhani watu wa kigoma wote misukule au mashabiki maandazi? mtaota sana ndoto za mchana lakini ukweli upo pale kwamba mamluki wenu kwishinei!
 
mkuu suala la zito limewaharibia sana chadema.sasa hivi ccm hawana mpinzani tena.mpinzani mkuu wa chadema ni zito.na hili suala la zito sio la kuisha leo.ccm sasa ndio njia nyeupee kuelekea ushindi wa kishindo mwakani.kama mtu mmoja tu chadema imemshindwa itawezekana vipi kuongoza watu milion arobaini?

Unaota ndoto huku umesimama!huyo mamluki wenu zitto tumeshamaliza kazi tumewaachia akina kibatala na lissu, uchaguzi ukifika tunapata majembe mengine huku yeye akijifia taratibu.chezea cdm weye!
 
NCCR Mageuzi wamekomaa sana kisiasa

Hiki ndio chama pekee cha upinzani ambacho kityakuja kushika dola hapo mbeleni.

Nawapongeza NCCR kwa kuonyesha uadilifu na ukomavu wa kisiasa.

Hongera David Kafulila jembe la mwisho wa reli

kwahiyo munashauri CDM iwaige walioshindwa !?
 
NCCR Mageuzi wamekomaa sana kisiasa

Hiki ndio chama pekee cha upinzani ambacho kityakuja kushika dola hapo mbeleni.h

Nawapongeza NCCR kwa kuonyesha uadilifu na ukomavu wa kisiasa.

Hongera David Kafulila jembe la mwisho wa reli
Sema haki ya Mungu
 
NCCR Mageuzi wamekomaa sana kisiasa

Hiki ndio chama pekee cha upinzani ambacho kityakuja kushika dola hapo mbeleni.

Nawapongeza NCCR kwa kuonyesha uadilifu na ukomavu wa kisiasa.

Hongera David Kafulila jembe la mwisho wa reli

Na tunazijua harakati zako za Kuanzisha Boko Haram ndani ya Jiji...
 
Huko mbeleni wana kgm watasema Chadema kwa heri...

Kafulila alitishia kujamba wakati anaharisha.Alivyoharisha akaona bora aombe msamaha.Saga la Kafulila linatufundisha ukiona una ushuzi na tumbo linauma tafuta choo cha karibu.
 
Chadema wakiweka uchagga na udini pembeni suala la zitto jepesi sana

Sasa tumwamini nani?Tetesi zinasema Serikali ya CCM ina UDINI ndio maana Viongozi wa E.A wameinyanyapaa Tanzania.
Source:Gazeti la UPENDO.
 
Kafulila alimwaga chozi miguuni kwa Mbatia akisihi asamehewe.Jambo hilo la kujishusha na kuomba msamaha wangelifanya wjatuhumiwa wote wa usaliti sidhani kama CHADEMA wasingewasamehe.Msamaha huo umempata Kafulila kwa sababu busara zake zilimtuma aombe radhi jambo ambalo linakubalika sana!Siyo mtu kibri,majivuno na kashfa kibao halafu mnasema eti tumsamehe itakuwa kituko cha pekee na udhaifu mkubwa.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
wakati akina Mtela wanafukuzwa, Ben saanane na mwenzake mmoja waliomba radhi wakasamehewa, waliojifanya kichwa ngumu wakafukuzwa. Likewise, kama akina Zitto, Mwigamba na Kitila wangeomba radhi, na kujutia makosa yao, chama kingewasamehe kwa masharti. Lakini watu wenye kiburi dharau na majivuno kama wao, wangesamehewa kwa misingi ipi?
 
NCCR Mageuzi wamekomaa sana kisiasa

Hiki ndio chama pekee cha upinzani ambacho kityakuja kushika dola hapo mbeleni.

Nawapongeza NCCR kwa kuonyesha uadilifu na ukomavu wa kisiasa.

Hongera David Kafulila jembe la mwisho wa reli

Unafiki huo,kikionyesha nia ya dhati kama chadema mtaanza kukipaka kila aina ya matope.Toka kule
 
mkuu suala la zito limewaharibia sana chadema.sasa hivi ccm hawana mpinzani tena.mpinzani mkuu wa chadema ni zito.na hili suala la zito sio la kuisha leo.ccm sasa ndio njia nyeupee kuelekea ushindi wa kishindo mwakani.kama mtu mmoja tu chadema imemshindwa itawezekana vipi kuongoza watu milion arobaini?

Hivi kuna mtu anahangaika na Zitto? viongozi wako bize na maandalizi ya uchaguzi, Zitto ameachiwa vijana ahangaike nao kwenye ofisi yake mpya ya facebook.
 
wakati akina Mtela wanafukuzwa, Ben saanane na mwenzake mmoja waliomba radhi wakasamehewa, waliojifanya kichwa ngumu wakafukuzwa. Likewise, kama akina Zitto, Mwigamba na Kitila wangeomba radhi, na kujutia makosa yao, chama kingewasamehe kwa masharti. Lakini watu wenye kiburi dharau na majivuno kama wao, wangesamehewa kwa misingi ipi?

Humufahamu Ben, Huyu aliwaingiza mkenge wenzake, akianzisha mpango wa kupinga uongozi akapata wafuasi Bavicha kibao, kisha kuwazunguka akaenda kwa viongozi,akasema amegundua usaliti.
 
Back
Top Bottom