iparamasa
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 13,437
- 14,934
unamaanisha nini unaposema hawezi kuangaika na dagaa? Haya mambo yenu mnaendeleza endekeza hayafai
unaonekana kwa jina kuwa wewe ni mkara halafu unauliza dagaa ni nini
unamaanisha nini unaposema hawezi kuangaika na dagaa? Haya mambo yenu mnaendeleza endekeza hayafai
sijakuelewa mkuu unaposema kafulila ni mtu mdogo wakati amechaguliwa na maelefu ya wananchi na kumbwaga mgombea wa chama tawala pia ukilinganisha na werema aliechaguliwa na mtu mmoja tu !!!kuwa na cheo si ukubwa , ukubwa ni namna mtu alivyoingia madarakani, wakati wowote rais anaweza kutengua uteuzi wa werema kitu ambacho hakiwezekani kwa kafulila.
unaonekana kwa jina kuwa wewe ni mkara halafu unauliza dagaa ni nini
Yeye ni tumbili hata akifa itakuwa sio kesi ya mauaji bali ujangili tu naona anasaka umaarufu kwa nguvu zote
Kwanza akajibu case yake..Serekali toka lini ikataka kuuwa unknown person..Huyu elimu ya darasa 7 anataka umarufu
Kwani tumbili analala hotelini?Kafulila inabidi uchukue taadhari sana hata kwenye hoteli unakoenda kula hawa jamaa roho zao walishakabidhi kwa shetani kama WANa uwezo Wa kutupa bomu kwenye mkutano Wa chama ambako kuna watoto wadogo yaani malaika na kuongeza kwa kuwamiminia risasi wanashindwa kwako wewe kaa chonjo
we ni kijana au mzee maana unaonekana ni mzoefu wa kula nyama za watu.
Mkuu, kuna watu wanajichetua tu humu. Wengine wanakana mpaka wazazi waounaonekana kwa jina kuwa wewe ni mkara halafu unauliza dagaa ni nini
Teheteheteheteheinaonekana na wewe unakula ila ishu ni uzoefu tu
Tumbili hana hadhi ya kisheriaSheria gani basi inaruhusu kuua japo hao unaodhani ni kwnown?
Mama ElizaboniTumbili hana hadhi ya kisheria
Kwani tumbili analala hotelini?
Serikali haiwezi kuua tumbili kwani ni vivutio kwa watalii
Serikali haiwezi kuua tumbili kwani ni vivutio kwa watalii
Case ipo Mahakamani hatuwezi ongelea hapaKesi ya CCM kuchota mabilioni ya pesa ya Iptl kupitia escrow account kwa ajili ya kununua wapiga kura na kuiba kura au kesi gani?