Kafulila: Serikali ya CCM inataka kuniua

Kafulila: Serikali ya CCM inataka kuniua

tanzania vichaa bado wengi sana wewe unayemuhukumu mwenzako kumbuka na wewe pia utahukumiwa na mungu ccm mkifanya maovu hamtaki kuambiwe ukweli kwa ujumla serikali ya ccm hawasitahili tena kuendelea kuweo madarakani wahuni hawa
Mkuu hujamwelewa tu huyo jamaa anamaanisha mtu akiongea ukweli unaogusa ufisadi wa CCM huwa anashughulikiwa kikatili.
 
tanzania vichaa bado wengi sana wewe unayemuhukumu mwenzako kumbuka na wewe pia utahukumiwa na mungu ccm mkifanya maovu hamtaki kuambiwe ukweli kwa ujumla serikali ya ccm hawasitahili tena kuendelea kuwepo madarakani wahuni hawa
soma vizuri mkuu na kuelewa ndo ucoment. Mimi sina uhusiano na watani zangu CCM kwa namna yoyote zaidi ya utani.
 
Huye si ndiye aliitwa na Slaa sisimizi, mwingine kamwita tumbili wewe unamwita nani, inawezeka anaonekana kama mdudu na mnyama wa porini. Aaaahaaaa
 
1452135_10152075381093324_1354687688_n.jpg
 
huye si ndiye aliitwa na slaa sisimizi, mwingine kamwita tumbili wewe unamwita nani, inawezeka anaonekana kama mdudu na mnyama wa porini. Aaaahaaaa

naunga hoja asilimia mia watu wa kigoma kuna sehemu evolution ya human being ilikwama
 
So, ni vizuri kujitafakari sana katika dunia hii maana tunapitia tu ndugu!! Mwenye hii dunia ni Mungu so long as tulizaliwa watoto tunakua na tutanyauka tu!! Tuwe na subira katika maamuzi na pia huruma pia!!

Well noted
 
Back
Top Bottom