Kafulila: Nilikuelewa vizuri sana ulipo tofautiana na Mtoto wa Mgimwa

S.N.Jilala

JF-Expert Member
Jan 26, 2012
540
507
Kwanza tuhuma alizozitoa J.J.Mnyika zilikuwa na mashiko sana, kwamba kifo cha Mgimwa kina utata na kinatakiwa kichunguzwe na serikali. Kwanza ilianzia kwa Zitto Kabwe kusema wazi kuwa mama yake aachwe apumzike, Zito nilimwelewa, baada ya hapo mtoto wa Mgimwa naye ataomba Baba yake aachwe apumzike na asihusishwe na sakata la Tegeta Escrow Account kwa namna yoyote ile.

David Kafulila kwa nini nasema nilimwelewa vizuri: Alileta hoja kuwa Mgimwa alikuwa kiongozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tena katika ngazi ya juu kabisa. Kwa hiyo hoja ya Uchunguzi wa kifo chake ni wazi kabisa kama alivyonena Kafulila.

Mtoto wa Mgimwa yeye anamtetea Baba yake, lakini Taifa linataka kuchunguza kifo cha Kiongozi na si Baba wa Mtu fulani. Ni kama Rais wa nchi auwawe afu mtoto wake aseme sitaki Uchunguzi wa Baba yangu kwani hata mkifanya hawezi kurudi!!!!. Kiongozi mkubwa wa nchi si Mali ya familia jamani, akiwa nyumbani kwake ndiyo Baba yenu na akiwa nje atabaki kuwa kiongozi wa Taifa, na hata akifia nyumbani kama kifo ni cha utata lazima serikali ifanye Uchunguzi tu.
 
Kwahiyo watu wanaokufa vifo vya Utata na vifo vyao kuchunguzwa hawana Watoto/Wazazi/Ndugu? Huyu mtoto wa Mgimwa huenda alishirikishwa kumuua baba yake kwa malipo ya Ubunge. Kwani tumeona watu wangapi wakiwaua Wazazi/Wake/Watoto wao kishirikina ili wapate mali?
 
Uchunguzi wa kifo chochote chenye utata ni hitaji la kisheria na wala siyo mapenzi ya wanafamilia. Inatia mashaka kama mtoto alishiriki. Tukumbuke yaliyompata raisi kwa Congo Kabila Sr na Kabila Jr raisi wa sasa
 
Kwani uchunguzi unafanyika bungeni?
 
Kwanza tuhuma alizozitoa J.J.Mnyika zilikuwa na mashiko sana, kwamba kifo cha Mgimwa kina utata na kinatakiwa kichunguzwe na serikali. Kwanza ilianzia kwa Zitto Kabwe kusema wazi kuwa mama yake aachwe apumzike, Zito nilimwelewa, baada ya hapo mtoto wa Mgimwa naye ataomba Baba yake aachwe apumzike na asihusishwe na sakata la Tegeta Escrow Account kwa namna yoyote ile.

David Kafulila kwa nini nasema nilimwelewa vizuri: Alileta hoja kuwa Mgimwa alikuwa kiongozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tena katika ngazi ya juu kabisa. Kwa hiyo hoja ya Uchunguzi wa kifo chake ni wazi kabisa kama alivyonena Kafulila.

Mtoto wa Mgimwa yeye anamtetea Baba yake, lakini Taifa linataka kuchunguza kifo cha Kiongozi na si Baba wa Mtu fulani. Ni kama Rais wa nchi auwawe afu mtoto wake aseme sitaki Uchunguzi wa Baba yangu kwani hata mkifanya hawezi kurudi!!!!. Kiongozi mkubwa wa nchi si Mali ya familia jamani, akiwa nyumbani kwake ndiyo Baba yenu na akiwa nje atabaki kuwa kiongozi wa Taifa, na hata akifia nyumbani kama kifo ni cha utata lazima serikali ifanye Uchunguzi tu.

Sasa ameshahongwa UBUNGE mnataka afanye nini?Akili za kuambiwa achana nazo,wala hajui alilolisema.:confused2::confused2:
 
Kwanza tuhuma alizozitoa J.J.Mnyika zilikuwa na mashiko sana, kwamba kifo cha Mgimwa kina utata na kinatakiwa kichunguzwe na serikali. Kwanza ilianzia kwa Zitto Kabwe kusema wazi kuwa mama yake aachwe apumzike, Zito nilimwelewa, baada ya hapo mtoto wa Mgimwa naye ataomba Baba yake aachwe apumzike na asihusishwe na sakata la Tegeta Escrow Account kwa namna yoyote ile.

David Kafulila kwa nini nasema nilimwelewa vizuri: Alileta hoja kuwa Mgimwa alikuwa kiongozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tena katika ngazi ya juu kabisa. Kwa hiyo hoja ya Uchunguzi wa kifo chake ni wazi kabisa kama alivyonena Kafulila.

Mtoto wa Mgimwa yeye anamtetea Baba yake, lakini Taifa linataka kuchunguza kifo cha Kiongozi na si Baba wa Mtu fulani. Ni kama Rais wa nchi auwawe afu mtoto wake aseme sitaki Uchunguzi wa Baba yangu kwani hata mkifanya hawezi kurudi!!!!. Kiongozi mkubwa wa nchi si Mali ya familia jamani, akiwa nyumbani kwake ndiyo Baba yenu na akiwa nje atabaki kuwa kiongozi wa Taifa, na hata akifia nyumbani kama kifo ni cha utata lazima serikali ifanye Uchunguzi tu.
Hata Zitto linapokuja suala la pesa za wizi kuchukuliwa PAP kwa madai kwamba zilitumika kumpeleka marehemu mama yake hawezi kuzuia lisijadiliwe. Uongo au ukwweli hautojulikana kama yataachwa hivihivi kwa visingizio vya wafu kuachwa wapumzike. Ametajwa mpaka wakili Msando kuchukua peasa PAP kwa niaba ya Zitto, kweli wakili msomi anaweza kufanya mambo kjinga hivyo?
 
Kwahiyo watu wanaokufa vifo vya Utata na vifo vyao kuchunguzwa hawana Watoto/Wazazi/Ndugu? Huyu mtoto wa Mgimwa huenda alishirikishwa kumuua baba yake kwa malipo ya Ubunge. Kwani tumeona watu wangapi wakiwaua Wazazi/Wake/Watoto wao kishirikina ili wapate mali?

Na kifo cha Chacha wangwe Nacho kichunguzwe kwani huyo huyo Mnyika ni mojawapo wa watu waliokuwa wakimchukia Chacha wangwe kiasi cha Kutisha , kwani mpaka chacha anafariki walikuwa hawaongei kabsa na inasemekana Deus Malya alipandikizwa kwa Chacha kinyemela kwa mbinu za mnyika, hicho kifo Nacho kichunguzwe.
 
Mizengwe inayonekana Bungeni inaonyesha kifo cha Ngimwa ni utata mtupu, Bajameni mkihisi kuwa mnaumwa msikimbilie South Africa si mnaona hata JK alipakwepa, kumbukeni kuwa wale tuliwahi kuwatuhumu kuwa ni makaburu na ndio wamilili wa hospitali kubwa, waliona Mtanzania anatapatapa karibia kufa wanamwonezea kisindano cha sumu afe mapema.
 
Back
Top Bottom