Kafulila ni Makamu Mwenyekiti wa chama kipya cha Hamad Rashid

Iwe kweli ama sio kweli, hii inatufundisha nini? - Mbunge kuwa kiongozi pia wa chama ni TATIZO kwa vyama vyetu..CCM wameanza kujisahihisha. Je, vyama vingine viko tayari kuachia Kofia mbili?
 
Kwataarifa kutoka watu muhimu waliokwenyemchakato wa Hamad Rashid wa Kuanzisha chama chake cha Allience for Demokratic Party(ADP)zinataja safu ya Uongozi wa chama hicho kuwa kama ifutavyo;-

MWENYEKITI:HAMAD RASHID
MAKAMU MWENYEKITI:KAFULILA
KATIBU;FESTUS LIMBU(Alikuwa mgombea wa CUF temeke amekubali kuwa mfuasi wa Hamad Rashid baada kupewa fedha nyingi na kuahidiwa ukatibu wa ADP
MKURUGENZI WA HABARI;HASAN DOYO(Alikuwa mwenyekiti wa CUF handeni akafukuzwa CUF

Nenda ukajipange then ndio ulete data zako huku....tushachoka na uzushi
 
Lisemwalo lipo kama halipo laja.Tusidharau yaweza kuwa kwani Kafulila na Hamad hawana chama mpaka dakika hii na ni wabunge wa mahakama.Then mwanasiasa si mtu wa kumwamini siku zote.Look kama Sita,Nape na wenzao waliweza kuanzisha CCJ na ilianza kama tetesi hatimaye ikawa kweli.MWANASIASA NI NDUMILAKUWILI.HUKU ANAPINGA UBADHIRIFU KULE ANAJIONGEZEA POSHO.THINK BIG
 
Ndug uweka Source ulipoipata. kwa taarifa tunajua kuwa kafulila ni Mbunge wa NCCR. Sasa na hiyo ADP imetoka wapi tena kwani inawezekana mtu kuwa na vyama vya siasa viwili kwa wakati mmoja??

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!

Mkuu hapo kwenye RED inawezekana, ila inawezekana vipi hapo ndio sijui ila muulize sitta, Mwakyembe, Nape na Mpendazoe walikuwa wanachama hai wa CCM huku ni waanzilishi wa CCJ. Hizo ndio siasa za Tanzania
 
kwataarifa kutoka watu muhimu waliokwenyemchakato wa hamad rashid wa kuanzisha chama chake cha allience for demokratic party(adp)zinataja safu ya uongozi wa chama hicho kuwa kama ifutavyo;-

mwenyekiti:hamad rashid
makamu mwenyekiti:kafulila
katibu;festus limbu(alikuwa mgombea wa cuf temeke amekubali kuwa mfuasi wa hamad rashid baada kupewa fedha nyingi na kuahidiwa ukatibu wa adp
mkurugenzi wa habari;hasan doyo(alikuwa mwenyekiti wa cuf handeni akafukuzwa cuf)

"unaweza kununua godoro, lakini usingizi haununuliwi"
 
Ndug uweka Source ulipoipata. kwa taarifa tunajua kuwa kafulila ni Mbunge wa NCCR. Sasa na hiyo ADP imetoka wapi tena kwani inawezekana mtu kuwa na vyama vya siasa viwili kwa wakati mmoja??

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
Usipate presha hizo ni Radio za Mapua
 
Huu kweli mchezo wa cuf wanapagawa. Kafulila hatoki nccr jamani. Hili ni jembe letu na litaendelea kulima hukuhuku. Ni suala la muda tu. Mtaona wenyewe. Chama cha hamad ni hamad na watu wake.
 
Back
Top Bottom