Kafulila: Kuna Uhusiano wa Moja kwa Moja kati ya Umasikini wa huduma na Umasikini wa kipato hii ni moja ya sababu za Pato la Kila Mtanzania kuongezeka

View attachment 2944740
=====
Kamishina Mkuu wa Ubia katika Serikali na Sekta Binafsi nchini ( PPP) Mhe David Zachari Kafulila amefafanua haya alipokuwa akihojiwa na Televisheni ya Globali,

Mhe David Zacharia Kafulila amesema katika dhana pana ya Uchumi kuna uhusiano wa Moja kwa Moja kati ya Umasikini wa huduma na Umasikini wa kipato,

Mhe David Zacharia Kafulila anaonesha umuhimu wa Ujenzi wa miundombinu ( Vitu ) katika kukuza uchumi wa huduma ambao nao unakuza uchumi au kipato Cha mtu mmoja mmoja( Watu)
Kweli Kafulila anamsaidia sana Rais basi ni hivyo hana bahati tu.
 
View attachment 2944740
=====
Kamishina Mkuu wa Ubia katika Serikali na Sekta Binafsi nchini ( PPP) Mhe David Zachari Kafulila amefafanua haya alipokuwa akihojiwa na Televisheni ya Globali,

Mhe David Zacharia Kafulila amesema katika dhana pana ya Uchumi kuna uhusiano wa Moja kwa Moja kati ya Umasikini wa huduma na Umasikini wa kipato,

Mhe David Zacharia Kafulila anaonesha umuhimu wa Ujenzi wa miundombinu ( Vitu ) katika kukuza uchumi wa huduma ambao nao unakuza uchumi au kipato Cha mtu mmoja mmoja( Watu)
Noted mkuu Kafulila
 
Wabongo wengi wana very poor analysis ya shida zao against suluhisho...wewe jidai mtaalam kisha wauzie maneno matamu hata kama wanalala njaa watakuambia
"tunakukubalii tunakupendaaa mwaaah mitano tenaa au tukuongezee mudaaa tubadili katiba".
Sio kweli Hilo tatizo naliona kwako
 
Sijawah ona jf toka koment ya kwanza mpaka hapa wana wakiunga mkono uzi ndio kwanza leo hy ni ajabu kabsaaa? Watu wa jf ninao wajua mimi noooo huu uzi ngoja kwanza nifanye research kuona ya maswal haya je id ni moja? Je wote ni wa chama kimoja au kuna wana wamepewa pesa na kafulila mi zimenipita, nitarud soon,mana nina vifaa gheto vina teknolojia ya kuwajua machawa
 
Nawakumbusha tu kuwa Leo ni ijumaa kuu nyama no.
 
View attachment 2944740
=====
Kamishina Mkuu wa Ubia katika Serikali na Sekta Binafsi nchini ( PPP) Mhe David Zachari Kafulila amefafanua haya alipokuwa akihojiwa na Televisheni ya Globali,

Mhe David Zacharia Kafulila amesema katika dhana pana ya Uchumi kuna uhusiano wa Moja kwa Moja kati ya Umasikini wa huduma na Umasikini wa kipato,

Mhe David Zacharia Kafulila anaonesha umuhimu wa Ujenzi wa miundombinu ( Vitu ) katika kukuza uchumi wa huduma ambao nao unakuza uchumi au kipato Cha mtu mmoja mmoja( Watu)
Nakubaliana
 
Back
Top Bottom