Ni amri ya Mahakama. Habari ndio hiyo!
SOURCE: http://twitter.com/#!/zittokabwe
===================
Zitto Kabwe
Kafulila kuendelea na Ubunge..... Mahakama Kuu imetoa amri muda mfupi uliopita.
Ataendelea kuwa Mbunge mpaka hapo kesi ya msingi itakapokwisha. Mungu yupo pamoja na wanyonge siku zote.
Naanza na huyu Zitto...huyu jamaa anamaslahi gani na Kafulila? au anataka tuamini kuwa wana agenda ya siri ili kuitawala NCCR? Kwanini Zitto unafanya mambo ya kipumbavu namna hii? unaonyesha kuwa unaagenda kubwa ya siri na tunapaswa kukuchunguza kwa makini...
Kafulila usijidanganye,hakuna sheria inayoweza kuingilia maamuzi ya chama kama yalifanywa chini ya kanuni na taratibu za chama,na wakati mwingine tuwe tunafikiri,hata kama umerudishwa unadhani utafanya kazi kwa ustadi wakati chama kina kinyongo na wewe? kwanini kuendelea kung'ang'ania sehemu ambapo hawakutambui?
Siasa maji taka za Zitto Zuberi Kabwe....naona anafurahi kuwa mission yake bado ina-survive...Ni amri ya Mahakama. Habari ndio hiyo! SOURCE: [URL="https://www.facebook.com/zittokabwe"]Zitto Kabwe]Twitter [/B] Kafulila kuendelea na Ubunge..... Mahakama Kuu imetoa amri muda mfupi uliopita. Ataendelea kuwa Mbunge mpaka hapo kesi ya msingi itakapokwisha. Mungu yupo pamoja na wanyonge siku zote. [/URL]
Ataendelea kuwa Mbunge mpaka hapo kesi ya msingi itakapokwisha.
Nchi zinazoendelea kama Tz maamuzi ya mahakama huwa pia yanachagizwa na wanasiasa hasa serikali iliyoko madarakani.
Kuna uwezekano wa mambo matatu kutokana na uamuzi huu:
1. Uamuzi huru wa mahakama kulingana na pingamizi lililowekwa na Kafulila
2. Kutokana na hali mbaya ya kifedha serikali imeamua kutia mkono ili kupiga dana dana kesi hadi ifike 2015.
3. Serikali kuweka mkono kama ilivyojaribu kwa madiwani kule Arusha na kisha kutumia kesi hii ''ku-mblackmail'' Kafulila ili aweze kurudi kwenye mstari na ale kiapo cha utii kwa Mbatia na kumsaidia Mbatia kuhujumu upinzani kama inavyosemwa na wengi kuwa Mbatia ameifanya NCCR kuwa CCM-C.
Kwa vile Kafulila hajawahi kupewa barua rasmi wala NCCR hawajawahi kuiarifu tume ya uchaguzi na msajili wa vyama juu ya uamuzi wao wa kumfuta David, namba 3 naipa uzito zaidi.
Ni mtazamo tu sio lazima uwe sahihi...