Kqweli wenzetu mnafikiria mbali sana. Hivi ile post ya Zitto kwenye face book yake kuhusu Kinjunction ya kafulila nayo ni moja ya harakati zake kuelekea Ikulu!!!!!!!c Mh!katika harakati za kabwe kutaka kujisogeza pale magogoni.amejikuta anaangukia pua baada ya kudanganya waandishi nasi wadau hapa jamvini eti kafulila ameruhusiwa na mahakama kuendelea na kazi za kibunge mpaka kesi ya msingi isomwe.Dr mvungi amewahabarisha waandishi ukweli wakabaki wanashangaa na kujiuliza wamfanye ni kabwe kwa kuwadhalili,inshort hakuna taarifa ya mahakama inayosema alivyotuambia kabwe juu za mshirika wake.na kabwe jitazame utashusha heshima yako kwa jamii kwa kutaka umarufu kwa hila
katika harakati za kabwe kutaka kujisogeza pale magogoni.amejikuta anaangukia pua baada ya kudanganya waandishi nasi wadau hapa jamvini eti kafulila ameruhusiwa na mahakama kuendelea na kazi za kibunge mpaka kesi ya msingi isomwe.Dr mvungi amewahabarisha waandishi ukweli wakabaki wanashangaa na kujiuliza wamfanye ni kabwe kwa kuwadhalili,inshort hakuna taarifa ya mahakama inayosema alivyotuambia kabwe juu za mshirika wake.na kabwe jitazame utashusha heshima yako kwa jamii kwa kutaka umarufu kwa hila