Kafulila: Kifo cha Mgimwa kichunguzwe

Kijana punguza kasi utawaua,bado unaendelea kuibua hoja nzito kwa aina ya viongozi tulionao sasa hakuna wa kukupa jibu
 
Na kuhusu wizi wa bilion 200 amesema ana ushahidi kwenye begi hilo hapo na supika kasema awasilishe
 

Attachments

  • 1401442878064.jpg
    1401442878064.jpg
    49.5 KB · Views: 1,077
  • 1401442901469.jpg
    1401442901469.jpg
    60.8 KB · Views: 891
Kiukweli hadi maCCM yakampa ubunge mtoto ambae anaishi ughaibuni inatia shaka na kama watu wanawaza kwa mbali basi kuna harufu ya umafia ikiwa Mgimwa amekuwa Waziri wa pili kufariki akiwa Waziri wa fedha baada ya Sioi wa Meru. Je hii ni bahati mbaya??!

Kwa nini mawaziri hawa wa fedha baada ya kufariki watoto wao ndio wakachaguliwa kurithi ubunge??!! Je sio kama kuiziba familia mdomo??!!

Kwa nini basi pale Chalinze Mbunge alipifariki mtoto wake hakupewa kurithi baadala yake akapewa Riziwani??!!

CCM inakuwa kundi la kimafia!!
 
kayasema hayo huku mwanae mgimwa akiwepo ndani!, kwa jicho la mbali najiuliza ni kwann ccm ilmptisha mwanae kugombea kalenga ili hali alikuwa mgeni wa siasa, na wapo wanachama wengi na wenye uwezo waliachwa!

mkuu hapo hata mimi ninapata wasiwasi
 
Kama itarudishwa ile thread ya Kifo cha Mgimwa ninakumbuka kuna member mmoja alitoa hint kuwa hakikuwa kifo cha halali. Kilitokana na yeye kukataa kusaini mambo Fulani hivi!!! Unajua siku hizi ninaona hata system imechoka hivyo inavuisha maji!!! Kazi ipo!!
 
Alipoambiwa awasilishe ushahidi mezani amegoma na kakimbia bunge

Wewe hiyo like nimeiweka kimakosa ushahidi kampa yule mhudumu wa bunge ampelekee spika hata sisis nyumbani kwetu kuna tv tunaangalia live usipotoshe watu hivi nyie vilaza ni nani amewaloga?
 
kayasema hayo huku mwanae mgimwa akiwepo ndani!, kwa jicho la mbali najiuliza ni kwann ccm ilmptisha mwanae kugombea kalenga ili hali alikuwa mgeni wa siasa, na wapo wanachama wengi na wenye uwezo waliachwa!

Wanalipa fadhila.
 
Back
Top Bottom