Kafulila: Kifo cha Mgimwa kichunguzwe

Kafulila: Kifo cha Mgimwa kichunguzwe

Aisee hata mimi nimeshangaa sana sijamsikia kitambo, sijui ID zimejumlishwa au katangulia mbele ya haki!!! Mungu pitisha mbali, au tena si unajua mambo ya kubadili ID kikishanuka, tehe tehe. Kama yupo hapa kivingine anisamehe bure. Wewe umeshamsikia mkuu au ngoja tutembelee profile yake.
Hahahahaha.
Mkuu, Rejao kama atakuwa katangulia mbele za haki (Mungu epushia mbali) basi apumzike na kwa amani.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha.
Mkuu, Rejao kama atakuwa katangulia mbele za haki (Mungu epushia mbali) basi apumzike na kwa amani.
Hakuna cha kupumzika kwa amani wala nini. Hao ndio kuni zenyewe. Watu gani wanatetea ufisadi wanaofanyiwa Watz bila huruma? Wangapi wameumia kwa ushabiki wafanyao hapa? Mimi sihukumu ila matendo ya baadhi ya watu humu JF yanaonyesha wazi ni hukumu gani wanastahili .
 
Last edited by a moderator:
Ukiwa muadilifu ndani ya ccm fahamu kifo ki karibu nawe*escrow* you cant/never overcome the group of hungry hyenas
 
kayasema hayo huku mwanae mgimwa akiwepo ndani!, kwa jicho la mbali najiuliza ni kwann ccm ilmptisha mwanae kugombea kalenga ili hali alikuwa mgeni wa siasa, na wapo wanachama wengi na wenye uwezo waliachwa!
Hii inaweza kuwa na tafsiri pana kidogo.
 
Amesema iwapo nchi ingekuwa makini,ndio hilo lingefanyika!lakini kwa nchini hii hilo haliwezekani.

Dadavua Mkuu, kwani alidai Mgimwa aliuwawa au tu alitaka kifo kichunguzwe? Siamini kuwa kutaka kifo kichunguzwe lazima uwe na madai maalumu.
 
Last edited by a moderator:
...kwa mazingira na matukio ya matumizi mabaya ya fedha za umma yalivyojiri tangu kifo cha Mgimwa kuna kila dalili kuwa kifo chake kimepangwa.....it wasn't natural death.....wamemwua wazidi kutuibia...watu wema nchi hii hawaishi...hata Dr.Mvungi wamemwua wao.....wale vijana walokamatwa walitumika tu....Nchi hii ukiwa jambazi unaishi bila shida....so sad...

Hivi vifo vya mawaziri wa fedha na magavana wa benki kuu ni vya kupangwa!!! Alikufa marahemu Stephen Kibona halafu mrithi wake akawa Kighoma Malima; Akaja kufa Gilman Rutihinda na mrithi wake akawa Idris Rashid na juzi amekufa Mgimwa amerithiwa na huyo mama anayeitwa Saada......!!!! Please try to connect the dots and you will find a high degree of correlation here.All this cannot be a coincidence, these deaths are planned. Kwanini wamrithishe ubunge mtoto wa Mgimwa ili hali yeye sio mwanasiasa; walikuwa wanafunika kombe mwanaharamu apite?
 
Hivi vifo vya mawaziri wa fedha na magavana wa benki kuu ni vya kupangwa!!! Alikufa marahemu Stephen Kibona halafu mrithi wake akawa Kighoma Malima; Akaja kufa Gilman Rutihinda na mrithi wake akawa Idris Rashid na juzi amekufa Mgimwa amerithiwa na huyo mama anayeitwa Saada......!!!! Please try to connect the dots and you will find a high degree of correlation here.All this cannot be a coincidence, these deaths are planned. Kwanini wamrithishe ubunge mtoto wa Mgimwa ili hali yeye sio mwanasiasa; walikuwa wanafunika kombe mwanaharamu apite?

...you are possibly very right...wanawaua wale walio makini alafu wanapachika maboya na mafisi ili wachote fedha hazina....na hili hutokea kila wakati zinapokaribia chaguzi.....Ni watu wachache sana TZ wanafikiria hili jambo kwa mtazamo huu.....me too think in this line....laiti watanzania wangejua.....
 
Wadau, hebu tujifikirishe vifo vingi kwa Mawaziri wa fedha tangu awamu za kifisadi zilipoanza kuingia madarakani.

Tunaanzia awamu ya pili [1985~95]
*Stephen Kibona, Waziri- Fedha**
*Prof. Kighoma Malima, Waziri wa Fedha
*Gilman Rutihinda, Gavana BoT**

Awamu ya tatu [1995~2005]:
*Jeremiah Sumari, Naibu W. Fedha
*William Mgimwa, Waziri~ Fedha**
*Daudi Balali, Gavana BoT.**
Hao ambao nimeweka** mbele kuna maswali mengi kuhusu vifo vyao ambayo serikali inapaswa kuyajibu.

Vifo vya Magavana: Rutihinda, Kibona, na Balali, pia Waziri Mgimwa vinatia mashaka makubwa zaidi. Kibona na Rutihinda vifo vyao vilifuatana, na wote walikuwa Wakuu wa vyombo mihimili ya Uchumi-Benki Kuu na Wizara ya Fedha walikufa kwa kufuatana wakiwa bado Watumishi wa Hazina. Balali aliyekuwa Gavana, 'alitoweshwa' kufuatia Ufisadi wa Fedha za EPA [ili kuficha ushahidi?].

Waziri Mgimwa, kifo chake kinanishangaza zaidi, huo ugonjwa wa figo wa miezi mitatu mfululizo hadi mauti! Nasema hivyo kwa kuwa kwa nafasi yake Serikalini, ugonjwa huo usingefikia hatua ya mauti kwa uharaka kiasi hicho, pia ningetazamia tatizo lake lingefahamika mapema maana wenzetu wanacheki afya mara kwa mara.

Naungana na Kafulila, kuna haja ya Serikali kuchunguza kifo cha Mgimwa vingine vya Rutihinda, Kibona, na Balali na kuja na majibu mujarab.
 
Kama itarudishwa ile thread ya Kifo cha Mgimwa ninakumbuka kuna member mmoja alitoa hint kuwa hakikuwa kifo cha halali. Kilitokana na yeye kukataa kusaini mambo Fulani hivi!!! Unajua siku hizi ninaona hata system imechoka hivyo inavuisha maji!!! Kazi ipo!!

Kukosa umakini kwetu kunawanufaisha sana wapigaji! Ni sahihi uchunguzi ungefanyika though usingerudisha uhai wa huyu bwana ila ukweli ungejulikana!
 
Back
Top Bottom