Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,449
- 283,740
Alipoambiwa awasilishe ushahidi mezani amegoma na kakimbia bunge
kwenye jambo zito kama hili ukileta masikhara lazima tukutilie mashaka .
Alipoambiwa awasilishe ushahidi mezani amegoma na kakimbia bunge
huyu dogo hivi hahisi chochote? maana kiukweli ningekuwa mimi yangenishinda ningeanza kufuatilia
Mbona hawahoji fedha za ruzuku anazopewa Mbatia jinsi zinavyotumika?
Mwongo tu Kafulila huyo, hana lolote, kala hela za watu fulani ili akwamishe bajeti.
Mwongo tu Kafulila huyo, hana lolote, kala hela za watu fulani ili akwamishe bajeti.
Hata Kigoma Malima alikuwa waziri wa Fedha. Naye baada ya kifo mtoto Adam akaukumba ubunge na unaibu waziri.Kiukweli hadi maCCM yakampa ubunge mtoto ambae anaishi ughaibuni inatia shaka na kama watu wanawaza kwa mbali basi kuna harufu ya umafia ikiwa Mgimwa amekuwa Waziri wa pili kufariki akiwa Waziri wa fedha baada ya Sioi wa Meru. Je hii ni bahati mbaya??!
Kwa nini mawaziri hawa wa fedha baada ya kufariki watoto wao ndio wakachaguliwa kurithi ubunge??!! Je sio kama kuiziba familia mdomo??!!
Kwa nini basi pale Chalinze Mbunge alipifariki mtoto wake hakupewa kurithi baadala yake akapewa Riziwani??!!
CCM inakuwa kundi la kimafia!!
Duh!!! Kijana Kafulila jichunge na mdomo wako!!!! unamwagia vitumbua vya wakubwa wa lichama Chakavu (CCM) mchanga! kumbuka bado msitu wa mabwepande upo!!!!
Aliyekuloga bado yupo hai mtafute ukuague.
acha uongo,tumemuona anatoa na kukabidhi ushahidi wake kwa spika alafu ndio akatoka nje ya bunge:flypig:
Has it crossed your little mind kwamba watu wengi pia wana TV majumbani mwao na wanafuatilia bunge kama wewe?
Kwanini unadanganya bila aibu?
Has it crossed your
little mind kwamba watu wengi pia wana TV majumbani mwao na wanafuatilia
bunge kama wewe?
Kwanini unadanganya bila aibu?
Alipoambiwa awasilishe ushahidi mezani amegoma na kakimbia bunge
Kiukweli hadi maCCM yakampa ubunge mtoto ambae anaishi ughaibuni inatia shaka na kama watu wanawaza kwa mbali basi kuna harufu ya umafia ikiwa Mgimwa amekuwa Waziri wa pili kufariki akiwa Waziri wa fedha baada ya Sioi wa Meru. Je hii ni bahati mbaya??!
Kwa nini mawaziri hawa wa fedha baada ya kufariki watoto wao ndio wakachaguliwa kurithi ubunge??!! Je sio kama kuiziba familia mdomo??!!
Kwa nini basi pale Chalinze Mbunge alipifariki mtoto wake hakupewa kurithi baadala yake akapewa Riziwani??!!
CCM inakuwa kundi la kimafia!!
Mbona amewasilisha we mbwiga acha ujinga, mwizi wewe na lichama lenuAlipoambiwa awasilishe ushahidi mezani amegoma na kakimbia bunge
tetesi zinadokeza kwamba hata kadi ya ccm aliandikiwa kwenye majamvi ya msibani !