Kafulila: Kifo cha Mgimwa kichunguzwe

Kafulila: Kifo cha Mgimwa kichunguzwe

kayasema hayo huku mwanae mgimwa akiwepo ndani!, kwa jicho la mbali najiuliza ni kwann ccm ilmptisha mwanae kugombea kalenga ili hali alikuwa mgeni wa siasa, na wapo wanachama wengi na wenye uwezo waliachwa!

You think what i'm thinking!
 
Alipoambiwa awasilishe ushahidi mezani amegoma na kakimbia bunge

Has it crossed your little mind kwamba watu wengi pia wana TV majumbani mwao na wanafuatilia bunge kama wewe?

Kwanini unadanganya bila aibu?
 
...kwa mazingira na matukio ya matumizi mabaya ya fedha za umma yalivyojiri tangu kifo cha Mgimwa kuna kila dalili kuwa kifo chake kimepangwa.....it wasn't natural death.....wamemwua wazidi kutuibia...watu wema nchi hii hawaishi...hata Dr.Mvungi wamemwua wao.....wale vijana walokamatwa walitumika tu....Nchi hii ukiwa jambazi unaishi bila shida....so sad...
 
ukweli na uwazi bado ni ishu katika nchi zetu za kiafrika,tuwe wazalendo kufichua uozo wa serikali.
 
Mbona hawahoji fedha za ruzuku anazopewa Mbatia jinsi zinavyotumika?

Swali lako ungelielekeza kwa CAG lingekuwa na maana zaidi.Na pili report ya CAG inatakiwa kujibiwa hivyo subiri Mbowe akijibu hoja za CAG utapata jibu sahihi.Kwa sasa tunatathmin kauli ya Kafulila.
 
Mtoto wa Mgimwa (R.I.P) kapangwa kuzungumza mchana wa leo 30/05/2014. bila shaka atazima mawazo ya kwamba baba yake kakolimbiwa na watu wamwachie Mungu!!
 
lizaboni kama kitu hukijui kwanini usiulize?wewe ujaona kafulila akimkabidhi ushaidi yule dada attendant wa bunge?hivi unalipwa shilingi ngapi kulopoka utumbo wakaji hujui chochote..usitufanye wajinga bwana kama hujui kitu kaa kimya. pambaf
 
Kiukweli hadi maCCM yakampa ubunge mtoto ambae anaishi ughaibuni inatia shaka na kama watu wanawaza kwa mbali basi kuna harufu ya umafia ikiwa Mgimwa amekuwa Waziri wa pili kufariki akiwa Waziri wa fedha baada ya Sioi wa Meru. Je hii ni bahati mbaya??!

Kwa nini mawaziri hawa wa fedha baada ya kufariki watoto wao ndio wakachaguliwa kurithi ubunge??!! Je sio kama kuiziba familia mdomo??!!

Kwa nini basi pale Chalinze Mbunge alipifariki mtoto wake hakupewa kurithi baadala yake akapewa Riziwani??!!

CCM inakuwa kundi la kimafia!!

Mkuu naomba nikusahihishe Jeremiah Sumari hakuwa waziri wa fedha bali alikuwa naibu waziri wa fedha na alikuwa mgonjwa tangu anatetea jimbo lake mwaka 2010.

Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
 
Kiukweli hadi maCCM yakampa ubunge mtoto ambae anaishi ughaibuni inatia shaka na kama watu wanawaza kwa mbali basi kuna harufu ya umafia ikiwa Mgimwa amekuwa Waziri wa pili kufariki akiwa Waziri wa fedha baada ya Sioi wa Meru. Je hii ni bahati mbaya??!

Kwa nini mawaziri hawa wa fedha baada ya kufariki watoto wao ndio wakachaguliwa kurithi ubunge??!! Je sio kama kuiziba familia mdomo??!!

Kwa nini basi pale Chalinze Mbunge alipifariki mtoto wake hakupewa kurithi baadala yake akapewa Riziwani??!!

CCM inakuwa kundi la kimafia!!

Aliyepigania Sioi Sumari apitishwe na CCM kugombea ni Lowassa kwa sababu ni mkwe wake, but wananchi wa Arumeru Mashariki walikuwa wanamtaka mtoto wa Brigedia Sarakikya na ndiye alieshinda kura za maoni.
Kwa kukaidi chaguo la wananchi ndio wakamuadhibu Sioi kwa kumpa kura Joshua Nassari.

Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
 
Duh!!! Kijana Kafulila jichunge na mdomo wako!!!! unamwagia vitumbua vya wakubwa wa lichama Chakavu (CCM) mchanga! kumbuka bado msitu wa mabwepande upo!!!!
 
kayasema hayo huku mwanae mgimwa akiwepo ndani!, kwa jicho la mbali najiuliza ni kwann ccm ilmptisha mwanae kugombea kalenga ili hali alikuwa mgeni wa siasa, na wapo wanachama wengi na wenye uwezo waliachwa!

tetesi zinadokeza kwamba hata kadi ya ccm aliandikiwa kwenye majamvi ya msibani !
 
kayasema hayo huku mwanae mgimwa akiwepo ndani!, kwa jicho la mbali najiuliza ni kwann ccm ilmptisha mwanae kugombea kalenga ili hali alikuwa mgeni wa siasa, na wapo wanachama wengi na wenye uwezo waliachwa!

Funika kombe mwanaharamu apite, siasa kitu kingine jamani sio rahisi na wazi kama wengi tunavyofikiri
 
Kama itarudishwa ile thread ya Kifo cha Mgimwa ninakumbuka kuna member mmoja alitoa hint kuwa hakikuwa kifo cha halali. Kilitokana na yeye kukataa kusaini mambo Fulani hivi!!! Unajua siku hizi ninaona hata system imechoka hivyo inavuisha maji!!! Kazi ipo!!

Duh! Noma sana !
 
Si bora hata Mgimwa karudishwa na kuzikwa na ndugu zake. Sasa huyo balali "alikufa" na nani "walimzika" na "kaburi" lake liko wapi?

yani mazishi ya balali sawa na ya Osama!!!!!!! kweli hii nchi kiboko
 
huyu dogo hivi hahisi chochote? maana kiukweli ningekuwa mimi yangenishinda ningeanza kufuatilia
 
Back
Top Bottom