Mkuu MTAZAMO, upo sahihi kabisa!Kuna IDs humu zinatumika na taasisi.....usishindane nao.......
Labda anazungumzia kuhusu CHADEMA kuitwa ulaya kuzungumzia. Escrow wakati yeye kama mhusika mkuu akiachwa solemba!
Labda anazungumzia kuhusu CHADEMA kuitwa ulaya kuzungumzia. Escrow wakati yeye kama mhusika mkuu akiachwa solemba!
Kaa ufahamu Rais haongozwi na BUNGE anaweza kugoma maamuzi yeyote hata yawe ni Bills kuyasainiTulia wewe kafulila aje atupe habari.hujaona kwamba jk amegoma kuwafukuza mawaziri,jamaa atakuwa amepata habari za jikoni sasa anataka atushirikishe watanzania
MSALANI waache wapige kelele, Bunge limebakiza vikao viwili tu ja January 29/2015 na cha Bajeti April-June 2015Labda anazungumzia kuhusu CHADEMA kuitwa ulaya kuzungumzia. Escrow wakati yeye kama mhusika mkuu akiachwa solemba!
Kaa ufahamu Rais haongozwi na BUNGE anaweza kugoma maamuzi yeyote hata yawe ni Bills kuyasaini
Simbachawene aliwaonya Wabunge sio kila kitu unongozi wa juu utayapitisha Je Rais akigoma mtamfanyaje
- imebaki miezi 6 tu Bune livunjwe (mwisho wa bajeti ni 30/June/2014
- mwisho wa Rais kuwa madarakani ni 01/Disemba/2015 atakapomkabidhi amtakaye ambaye atachaguliwa ktk Uchaguzi Mkuu
Kumbuka Rais ndiye anayelivunja Bunge, na uchaguzi ukafanyika tena lakini sio Bunge kumuwajibisha Rais
Kumbuka hata Azzan Zungu Mwenyekiti aliwaambia Wabunge watulie la sivyo akifungasha viorago pale wabunge wote ndio mwisho wa biashara yao.
MSALANI waache wapige kelele, Bunge limebakiza vikao viwili tu ja January 29/2015 na cha Bajeti April-June 2015
Kwani Sendeka alishashtukia mchezo wa Serikali akalitahadharisha Bunge majibu ni lazima
Werema Mwanasheria Mkuu naye anastaafu mwezi huu kwa umri huku akisisitiza fedha yote si ya UMMA
Press Conference haijaanza?
Subutu yako,Mwambir agomr kuwafukuza hao mawaziri aone bunge litakavyo mwamshia wenge