Kafulila kesho anafanya press conference

Kafulila kesho anafanya press conference

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2008
Posts
10,942
Reaction score
437
Wadau!
Kwahabari nilizo zipata muda huu kutoka wa Gwiji lililo ebuwa sakata la Escrow na mbunge wa kigoma mh David Kafulila atafnya mkutano na waandishi wa habari kuelezea mchezo mchafu unaochezwa kuhusu sakata la Escrow.Tunaomba wazalendo walioko dar mjitokeze kumuunga mkono mh Kafulila,stay tuned.
UPDATES.......
"Kesho nitakuwa na press conference makao makuu ya nccr kuanzia satano asbh kuhusu kinachoendelea katika sakata la ufisadi wa escrow. Pia nitatangaza kuanza ziara mkoani kigoma na jimboni kwangu kueleza umma kuhusu sakata hili. Pamoja Tutashinda"by Kafulila Mb
 
Labda anazungumzia kuhusu CHADEMA kuitwa ulaya kuzungumzia. Escrow wakati yeye kama mhusika mkuu akiachwa solemba!
 
huyu dogo alipiga hili goma bila kujua kua mdundo unamtetemesha mkuu wa kaya
 
Ahsante kwa taarifa ngoja tumsubirie

Mimi binafsi sidhani kama ni sawa kwake Kafulila kuzungumia ESCROW yeye kama yeye tena maana issue yote alishakabidhi bunge na limeshughulikia na kutoa maazimio/mapendekezo yake kwa mhimili mwingine. Kwa maoni yangu, angefanya kuarifu uongozi wa bunge juu ya suala hilo kwanza. Wakikaa kimya ndiyo anaweza kuumbia umma( ni mtazamo wangu tu).
 
Back
Top Bottom