sijawahi kuona wala kusikia cdm ikihamasisha watz kuichukia nchi yao,waichukie then waende wapi?kwa misingi ipi?kwa faida gani?vzr kuwa muwazi kuwa lisingekuwa tumbo lako nawe ungekuwa cdm kuhakikisha unaishi kwa misingi ya haki,usawa,upendo na amani.vinginevyo umekuwa jasiri wa kupotosha ukweli pasi na soni.