malagarasi
Member
- Dec 6, 2011
- 12
- 3
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, imenishangaza kuona kafulila akiwa amelidanganya bunge la Tanzania na Dunia nzima kuwa yeye ni Graduate wa BBA(UDSM), huku ikijulikana kuwa hakumaliza chuo bali alifukuzwa akiwa mwaka wa kwanza ambapo alikuwa anasoma Evening class udsm. Tunamtaka atueleze hiyo BACHELOR OF BUSINESS ADMINISTRATION aliipata wapi na mwaka gani?
Aidha Bunge nalo linashangaza kwa kukubali kudanganywa kirahisi, hivi ina maana Bunge letu huwa haliagizi wabunge wake wakawasilisha vyeti vyao ili kuvihakiki? Tunataka Bunge nalo litueleze ukweli juu ya Shahada ya BBA ya David Kafulila imetoka wapi?
Huu ni ufisadi mwingine, Kinachoeleweka Kafulila ni Form six leaver tu. Mbaya zaidi Bunge limechapisha sifa za kitaaluma za kafulila na kuweka kwenye website kuwa kafulila ni graduate wa BBA,aliipata wapi na lini? Ufisadi hadi kwenye kughushi elimu! maajabu haya. Twende UDSM wakatueleze kafulila alimaliza lini? Na Bunge litueleze wamepata wapi wasifu huo wa elimu ya Kafulila kama siyo ufisadi?