atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,545
- 9,774
Aiseee wewe jamaaaa nakumbuka ile thread YA Kuhusu wanawake majasusi.ulisema wanakupandisha then ukifika kieleln wanakubana aoseeeee
Duuu hata wewe... Ok OK sawa.... Lazima tutofautiane mitazamo...lakini uhalisia utabaki kuwa uhalisiaKwakweli hapa mnakosea sana kusema zile video ni halisi!
Siamini katika Mungu na Miungu ila kwa hili nasimama na Gwajima.
Kile tunachokiona sio gwajima kafanya bali ni mtu kaamua kumchafua tu kwa sababu anazozijua yeye.
Ulikuwa kwenye mind yangu na asante sana Ndivyo initiation ya kuingia cheo kingine cha Freemason inavyotaka lazima ufanye kafara kama lile na uliweke wazi ili mgodi utemeMafanikio, ukwasi, utajiri, umaarufu, nguvu na ushawishi husakwa kwa njia nyingi sana, halali na haramu
Kwenye njia halali kuna Mungu mmoja tuu... Lakini kwenye njia haramu kuna miungu.... Sasa hapa inategemea mafanikio yako umeyapata kupitia mlango upi
Tukiachana na yote hebu tujikite kwenye kafara hizi mbili... Kafara ya damu na kafara ya manii... Hivi viwili vina nguvu sana kwakuwa vyote vina uhai ndani yake na vina miunganiko ya kiroho na maranyingi chemistry yake huenda pamoja..
Miungu ya kafara zote hizi mbili hufanya kazi pamoja lakini kukiwa na utofauti fulani.... mungu wa kafara ya damu huteketeza kilicho hai... I mean chenye uhai kamili, wakati mungu wa kafara ya manii huteketeza kinachotaka kutengeneza uhai (sperm catalyst)... Yani lengo lao huwa ni moja... Kuharibu... Lakini pia kuna wakati viwili hivi (damu na manii) huchukuliwa vikachanganywa pamoja na kuumbwa kitu kingine tofauti kabisa(kiumbe roho)
Hivi vitu vyote vya kuumbwa na binadamu huwa na kikomo cha matumizi (expiry date), yaani hupoteza nguvu na uwezo wake wa
Kukulinda
Kukupa nguvu
Kukupa utajiri
Kukupa umaarufu
Kukupa mvuto nknk
Ndio maana basi ukishaanza kwa mlango wa makafara utaenda hivyo mpaka utakaposhindwa masharti na kuumbuka... Vilevile kumbuka ya kwamba licha ya kikomo cha matumizi kuna viwango pia... Yaani kila kiwango champion utajiri, umaarufu nk kina kafara lake... Na kafara halina rivasi ana kupunguza kiwango bali huongezeka kila hatua
Baba mchungaji na mtumishi wa mungu, mtume na nabii amefanya kituko cha mwaka.. Maoni ni mengi malumbano ni mengi lakini uhalisia utabaki kuwa uhalisia
Kwenye video husika mtumishi anafanya ayafanyayo si kwa dhati ya moyo wake(freewill) bali kwa maelekezo maalum..
Ngono ni tamu sana na ina manjonjo na vionjo vyake kama ukiifanya kwa matamanio ya kawaida ya kimwili na hisia za mapenzi
Kanisa la mzee baba linayumba na si yeye pekee... Lakini miaka ya hivi karibuni amekuwa kwenye changamoto nyingi sana... Hasa kwenye ishu za mahusiano na vita na wanasiasa...
Ni katikati ya frustration na kutaka kusimana tena binadamu uwezo wa kufikiri na kuamua kwa weledi hupungua.... Mzee baba kaelekezwa kujirekodi akifanya kafara husika kisha aitume video kunakohusika ili kuwaaminisha kuwa ni kweli kafanya...
Bila kujua kuwa mawasiliano yake yanadukuliwa.... Amepigwa upper cut iliyoenda penyewe
Tudhibitishie kwamba sio yeyeKwakweli hapa mnakosea sana kusema zile video ni halisi!
Siamini katika Mungu na Miungu ila kwa hili nasimama na Gwajima.
Kile tunachokiona sio gwajima kafanya bali ni mtu kaamua kumchafua tu kwa sababu anazozijua yeye.
Unachopinga ni nini?Mshana Jr katika hili bado kuna utata.
Sidhani kama kama kuna kafara ya ngono inayohusisha a mere girl, labda km huyo msichana alikuwa na u-special ambao hatuujui. Ingekuwa kafara tulitegemea kumuona akifanya mapenzi na either mnyama ama mwanamke ambaye si wa kawaida mfano kichaa.
Pili kafara huwa hazihitaji eti mtu ajirekodi na kuzituma mahali. Kafara ya ngono ww ukishafanya yako basi wao wanajua automatically. Hakuna digitalization kwenye mambo ya kafara.
Ni katikati ya frustration na kutaka kusimana tena binadamu uwezo wa kufikiri na kuamua kwa weledi hupungua.... Mzee baba kaelekezwa kujirekodi akifanya kafara husika kisha aitume video kunakohusika ili kuwaaminisha kuwa ni kweli kafanya...
Bila kujua kuwa mawasiliano yake yanadukuliwa.... Amepigwa upper cut iliyoenda penyewe
Kweli mkuu hapa kuna dalili ya mshana kutumia akili za kuambiwaMshana Jr katika hili bado kuna utata.
Sidhani kama kama kuna kafara ya ngono inayohusisha a mere girl, labda km huyo msichana alikuwa na u-special ambao hatuujui. Ingekuwa kafara tulitegemea kumuona akifanya mapenzi na either mnyama ama mwanamke ambaye si wa kawaida mfano kichaa.
Pili kafara huwa hazihitaji eti mtu ajirekodi na kuzituma mahali. Kafara ya ngono ww ukishafanya yako basi wao wanajua automatically. Hakuna digitalization kwenye mambo ya kafara.
Hii filamu wanaoweza kuiamini ni vichaa peke yao maana wao wana namna yao ya kufikiriHii filamu sijui kwanini imechuja haraka sana.... Labda kwakuwa ni wiki ya Mengi ndio maana
Nyie mnaopalilia ishu kama hizi lazima mchunguzwe haiwezikani muwe hamuhusiki na hii issue. Maana kwa vyovyote vile perpetrator hawezi kurudi kwa account ileile aliyotumia kupost kuendeleza kupulizia mambo aliyoyaweka. Nyie mnaoshabikia ndio hasa mnahusika. Hata average minded intelligence expert wa aina yeyote hawezi kuacha kuwafuatilia.Mafanikio, ukwasi, utajiri, umaarufu, nguvu na ushawishi husakwa kwa njia nyingi sana, halali na haramu
Kwenye njia halali kuna Mungu mmoja tuu... Lakini kwenye njia haramu kuna miungu.... Sasa hapa inategemea mafanikio yako umeyapata kupitia mlango upi
Tukiachana na yote hebu tujikite kwenye kafara hizi mbili... Kafara ya damu na kafara ya manii... Hivi viwili vina nguvu sana kwakuwa vyote vina uhai ndani yake na vina miunganiko ya kiroho na maranyingi chemistry yake huenda pamoja..
Miungu ya kafara zote hizi mbili hufanya kazi pamoja lakini kukiwa na utofauti fulani.... mungu wa kafara ya damu huteketeza kilicho hai... I mean chenye uhai kamili, wakati mungu wa kafara ya manii huteketeza kinachotaka kutengeneza uhai (sperm catalyst)... Yani lengo lao huwa ni moja... Kuharibu... Lakini pia kuna wakati viwili hivi (damu na manii) huchukuliwa vikachanganywa pamoja na kuumbwa kitu kingine tofauti kabisa(kiumbe roho)
Hivi vitu vyote vya kuumbwa na binadamu huwa na kikomo cha matumizi (expiry date), yaani hupoteza nguvu na uwezo wake wa
Kukulinda
Kukupa nguvu
Kukupa utajiri
Kukupa umaarufu
Kukupa mvuto nknk
Ndio maana basi ukishaanza kwa mlango wa makafara utaenda hivyo mpaka utakaposhindwa masharti na kuumbuka... Vilevile kumbuka ya kwamba licha ya kikomo cha matumizi kuna viwango pia... Yaani kila kiwango champion utajiri, umaarufu nk kina kafara lake... Na kafara halina rivasi ana kupunguza kiwango bali huongezeka kila hatua
Baba mchungaji na mtumishi wa mungu, mtume na nabii amefanya kituko cha mwaka.. Maoni ni mengi malumbano ni mengi lakini uhalisia utabaki kuwa uhalisia
Kwenye video husika mtumishi anafanya ayafanyayo si kwa dhati ya moyo wake(freewill) bali kwa maelekezo maalum..
Ngono ni tamu sana na ina manjonjo na vionjo vyake kama ukiifanya kwa matamanio ya kawaida ya kimwili na hisia za mapenzi
Kanisa la mzee baba linayumba na si yeye pekee... Lakini miaka ya hivi karibuni amekuwa kwenye changamoto nyingi sana... Hasa kwenye ishu za mahusiano na vita na wanasiasa...
Ni katikati ya frustration na kutaka kusimana tena binadamu uwezo wa kufikiri na kuamua kwa weledi hupungua.... Mzee baba kaelekezwa kujirekodi akifanya kafara husika kisha aitume video kunakohusika ili kuwaaminisha kuwa ni kweli kafanya...
Bila kujua kuwa mawasiliano yake yanadukuliwa.... Amepigwa upper cut iliyoenda penyewe
Dunia simama nishuke... Mambo ni mengi muda mchacheNyie mnaopalilia ishu kama hizi lazima mchunguzwe haiwezikani muwe hamuhusiki na hii issue. Maana kwa vyovyote vile perpetrator hawezi kurudi kwa account ileile aliyotumia kupost kuendeleza mijadala. Nyie mnaoshibikia na huruma zenu ndio hasa mnahusike. hata average minded intelligence expert wa aina yeyote hawezi kuacha kuwafuatilia
Kaka Mshana, ile video ni ya kweli?Mafanikio, ukwasi, utajiri, umaarufu, nguvu na ushawishi husakwa kwa njia nyingi sana, halali na haramu