Kafara ya taifa ni nini? Is it real?

Kafara ya taifa ni nini? Is it real?

litutumbwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2023
Posts
731
Reaction score
1,376
Habarini wanajamvi LA jamiiforums

Kuna ili Jambi linniwazisha na kunisononesh sana for surer, kafaraa ya taifa in kitu gani?
Akina nani in wausika was kutolewa kafara?

Msaada wa majawabu tafadhariini
 
Ungekuwa mlinzi WA nchi kimwilli au kiroho,

Ungeelewa maana yake.

The Watchers!
 
Back
Top Bottom