Utanisaidia kwa jirani yangu
Nimeelewa kuliko kawaida
hahaa nia yko dinna apagawe sio ....kuwa nahuruma mkuu



sina uhakika kama wa kwake anaitwaa hivyo G Master maana mm kwangu analia kama mtoto anavyonibembeleza sasa nitashangaaa kama yy ndo analiliwa kwingine ila tusichanganye madesaaaa




Ukisikia mbuzi kafia kwa muuza supu ndio Hii kesho tusubiri supu.![]()
![]()




hahaa c yule anayeuza vumbi LA congo



usinitafutie kesiiii wewe kwa mjedaaaa Yule jirani yako sina hamu nae,alikutorosha wewe toka kwanguUtanisaidia kwa jirani yangu



Nakwambia huyo anakudanganya mm nimesema kesho naweka uzi na screen short mwandiko wake si unaujua lakinHakuna my dia niamini mimi






hahaaausinitafutie kesiiii wewe kwa mjedaaaa
Alafu sitak kuchuma.dhambi yule mtu wa mungu
Atakuja msubiri jirani kipenzi
Kuna ajali kubwa sana yakaribia kutokea
Jirani yako ni hatari sana
Yan bonge siku hizi ananitumia tu smshahaaa waambiwa bonge aliita maji M'maahh
Hii inaitwa mbwa kala mbwaAtakuja msubiri jirani kipenzi


nayule mwenye zile text ulizopost ninani ??Yan bonge siku hizi ananitumia tu sms
"mpenzi nakupenda" basiii hana maneno mengiii