Umeeleza vyemaWewe mjinga sana. Kanisa katoliki hakunaga askofu mkuu wa nchi. Kila jimbo lina mkuu wake, na huyo ni hapo Tabora tu sio mkuu wa Tanzania. Muwe mnauliza basi hierarchy ya kanisa!!! Huyo hawezi na hana uwezo wa kulisemea kanisa kama mkubwa. Kuna mapadri makardinali kwa taarifa yako. Watu wengi hawalijui kanisa katoliki. Ila wanahisi wanalijua, kuna misconceptions nyingi sana hasahasa kutoka kwa wanasiasa na wanahabari.
Nina uhakika Samia anadhani huyo ndio mkuu wa kanisa Tanzania ni aibu kuwa wengi wapo ignorant , mpaka wengine wakadhani eti atakaa Dar. Shida ni pale Pengo alikuwa anapenda kuongea na media na media zinapenda kuongea na Pengo wakadhani ana authority kuliko wengine kumbe mwisho wake ulikuwa jimbo kuu la Dar es Salaam.
Huyo kardinali mwisho wake wa madaraka ni hapo jimbo la Tabora. Sisi wakatoliki wakati wa misa tuna sala ya waumini ambayo tunaanza kwa Papa then askofu wa jimbo husika, kwahiyo Dar au Moro au Arusha hawatamtaja Rugambwa! Why? Sababu ni askofu wa jimbo la Tabora. Ukardinali ni more ceremonial tu sio authoritative. Chukueni hiyo.
Wale wanapigania Uwaziri mkubwa 😂😂😃😃😃, Kwa hiyo wale wanao Sema "Tunashauri sa100 awe mama wa Taifa", Yawezekana kwenye List ya ujezi hawapo 🥴🥴.
Yeye ni mshauri wa Papa anayeketi Kitini pake Petro Mtume 😂Umeeleza vyema
.
Tabora penyewe madaraka anayo robo tuu, anapokea maelekezo kutoka kwa Askofu Mkuu Paul R. Ruzoka.
Wananawa tu lakini hawatakulaUsojisahaulishe ni zamu ya KKKT tunaenda na Madelu
Hata India aliambatana naye ana cheo Gani kwa sasa?Namuona Mzee LUKUVI hapo,,, Au macho yangu 🤔🤔🤔
Askofu Mkuu wa Kanisa katoliki nchini Tanzania, Kadinali Protase Rugambwa amekutana na Mhe Rais Samia Suluhu Hassan mkoani Tabora ikiwa ni mara ya kwanza tangu kuapishwa kwake.
Mara baada ya kuwasili Kadinali Rugambwa alimuombea Rais Samia sala maalum kumtakia heri katika uongozi wake.
Tabora ni nyumbani! Karibu sana Mama wa Taifa
Wale wanaosema Mama ana shida na TEC bado mko na msimamo wenu au?
Mwezi huu itakuja habari ambayo wengi wenu hamtoipenda, habari hiyo itakuja kabla ya maandamao yetu ya mchongo ya akina Mwabukusi. #MamaYukoKazini
Rais Samia Suluhu chuma hiki kimeaga kwao Kizimkazi.
View attachment 2785654
View attachment 2785655
View attachment 2785656
View attachment 2785657
View attachment 2785658
View attachment 2785659
Kwani nani kakubishia hadi umepanic? 😂😂🔥Kanisa takatifu ni Watakatifu popote walipo duniani. Na wala sio dini au madhehebu fulani ya dini. Kila mtakatifu popote alipo ni sehemu ya Kanisa la Yesu Kristo ambalo lipo dunia nzima.
Rekebisha Kanisa Katoliki halina kiongozi anayeitwa Askofu Mkuu wa Tanzania yeye hadi sasa ni Askofu Mkuu Mwandamizi wa Jimbo Kuu la Tabora.Askofu Mkuu wa Kanisa katoliki nchini Tanzania, Kadinali Protase Rugambwa amekutana na Mhe Rais Samia Suluhu Hassan mkoani Tabora ikiwa ni mara ya kwanza tangu kuapishwa kwake.
Mara baada ya kuwasili Kadinali Rugambwa alimuombea Rais Samia sala maalum kumtakia heri katika uongozi wake.
Tabora ni nyumbani! Karibu sana Mama wa Taifa
Wale wanaosema Mama ana shida na TEC bado mko na msimamo wenu au?
Mwezi huu itakuja habari ambayo wengi wenu hamtoipenda, habari hiyo itakuja kabla ya maandamao yetu ya mchongo ya akina Mwabukusi. #MamaYukoKazini
Rais Samia Suluhu chuma hiki kimeaga kwao Kizimkazi.
View attachment 2785654
View attachment 2785655
View attachment 2785656
View attachment 2785657
View attachment 2785658
View attachment 2785659
Amshauri tuu sisi hatuna shida. Yeye sio Askofu mkuu wa TanzaniaYeye ni mshauri wa Papa anayeketi Kitini pake Petro Mtume
Katoliki haina daraja hilo bali kuna Rais wa TEC ambaye kwa sasa ni baba askofu Nyaisonga wa MbeyaAmshauri tuu sisi hatuna shida. Yeye sio Askofu mkuu wa Tanzania
.
.
Papa mwenyewe haeleweki
Ndiye aliyefanikisha Dili la Mama kwenda hapo Parokiani kuzungumza na MAASKOFU bila yeye Mama alikuwa amekataliwaNamuona Mzee LUKUVI hapo,,, Au macho yangu
Naelewa JohnKatoliki haina daraja hilo bali kuna Rais wa TEC ambaye kwa sasa ni baba askofu Nyaisonga wa Mbeya
Hakuna kadinali wa Tanzania bali kuna kadinali mtanzaniaHakuna askofu mkuu wa kanisa katoliki Tanzania ila Kuna kadinali wa Tanzania
Siyo Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki nchini, bali ni Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Tabora, Kardinali Protase Rugambwa.Askofu Mkuu wa Kanisa katoliki nchini Tanzania, Kadinali Protase Rugambwa amekutana na Mhe Rais Samia Suluhu Hassan mkoani Tabora ikiwa ni mara ya kwanza tangu kuapishwa kwake.
Mara baada ya kuwasili Kadinali Rugambwa alimuombea Rais Samia sala maalum kumtakia heri katika uongozi wake.
Tabora ni nyumbani! Karibu sana Mama wa Taifa
Wale wanaosema Mama ana shida na TEC bado mko na msimamo wenu au?
Mwezi huu itakuja habari ambayo wengi wenu hamtoipenda, habari hiyo itakuja kabla ya maandamao yetu ya mchongo ya akina Mwabukusi. #MamaYukoKazini
Rais Samia Suluhu chuma hiki kimeaga kwao Kizimkazi.
View attachment 2785654
View attachment 2785655
View attachment 2785656
View attachment 2785657
View attachment 2785658
View attachment 2785659
Hata India aliambatana naye ana cheo Gani kwa sasa?
FaizaFoxyKanisa Moja Takatifu la Mitume 😀
Kwenu FaizaFoxy na The Boss plus The Big Show
Upo sahihi, vizuri kwa kufanya clarification and to clear the air,Siyo Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki nchini, bali ni Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Tabora, Kardinali Protase Rugambwa.
Hili Kanisa hili jamni, nilifukuzwa seminary nikiwa form six..Wewe mjinga sana. Kanisa katoliki hakunaga askofu mkuu wa nchi. Kila jimbo lina mkuu wake, na huyo ni hapo Tabora tu sio mkuu wa Tanzania. Muwe mnauliza basi hierarchy ya kanisa!!! Huyo hawezi na hana uwezo wa kulisemea kanisa kama mkubwa. Kuna mapadri makardinali kwa taarifa yako. Watu wengi hawalijui kanisa katoliki. Ila wanahisi wanalijua, kuna misconceptions nyingi sana hasahasa kutoka kwa wanasiasa na wanahabari.
Nina uhakika Samia anadhani huyo ndio mkuu wa kanisa Tanzania 😂 ni aibu kuwa wengi wapo ignorant , mpaka wengine wakadhani eti atakaa Dar. Shida ni pale Pengo alikuwa anapenda kuongea na media na media zinapenda kuongea na Pengo wakadhani ana authority kuliko wengine kumbe mwisho wake ulikuwa jimbo kuu la Dar es Salaam.
Huyo kardinali mwisho wake wa madaraka ni hapo jimbo la Tabora. Sisi wakatoliki wakati wa misa tuna sala ya waumini ambayo tunaanza kwa Papa then askofu wa jimbo husika, kwahiyo Dar au Moro au Arusha hawatamtaja Rugambwa! Why? Sababu ni askofu wa jimbo la Tabora. Ukardinali ni more ceremonial tu sio authoritative. Chukueni hiyo.
Duh, kumbe kuna ka vita Baridi kapo chini chini kana puliza miguu 😐😐Ndiye aliyefanikisha Dili la Mama kwenda hapo Parokiani kuzungumza na MAASKOFU bila yeye Mama alikuwa amekataliwa