Kadinali Pengo hana mamlaka ya kimzuia Askofu kusema juu jambo lolote na siyo msemaji wa kanisa Katoliki nchini

Bila shaka naongea na mlei kwelikweli ( kwenye kanisa katolii kuna watu wanaitwa walei) hawa ni watu wenye uelewa mdogo wa mambo ya kanisa kama wewe..!
Kumbe hata wewe hulijui, mlei sio mtu mwenye uelewela mdogo bali ni mkatioliki asiye na daraja takatifu, yaani asiye padre au mtawa
 
Haulielewi Kanisa Katoliki wewe, kama Kardinali hana huwo uwezo mwambie huyo Askofu aendelee kupiga domo hlf uone kitakachofwatia, Kardinali Pengo anawasiliana na Papa moja kwa moja, na Papa ndo Bosi wa Wakatoliki wote Duniani!
Wewe hujui kitu na hutaki kujua hivyo unafaa kuitwa mpumbavu. Askofu Pengo ni askofu sawa na askofu Niwemugizi au Rwaichi , hawezi kuendesha ibada hata kwenye kigango au parokia yoyote mwanza au nje ya dsm bila idhini ya askofu au padre wa jimbo / kanisa husika .
 
Swali ni je sauti ya Askofu ni sauti ya wakatoliki wote.
Kuna usemi wa kanisa linasema hivi ' penye askofu kuna kanisa' hivyo askofu wa jimbo mfano Askofu Pengo akiongea au akitoa tamko kama askofu basi hapo tunasema hilo ni tamko la jimbo kuu katoliki la DSM. Ila haliwi tamko la jimbo la Iringa wala morogoro
 
Wewe hujui kitu na hutaki kujua hivyo unafaa kuitwa mpumbavu. Askofu Pengo ni askofu sawa na askofu Niwemugizi au Rwaichi , hawezi kuendesha ibada hata kwenye kigango au parokia yoyote mwanza au nje ya dsm bila idhini ya askofu au padre wa jimbo / kanisa husika .

Ni kweli sijui kitu na nakushangaa wewe unayeijitamba unalijua Kanisa Katoliki, hakuna Dola secretive Duniani kama Kanisa Katoliki hata hao Maaskofu wako pia kuna mengi hawajui kinachoendelea nyuma ya Pazia huko Roma, hivyo kusema Kardinali Pengo mtu anayekaa Meza moja na Papa na hata anahusika kwenye kumchagua kwamba ana nguvu sawa ndani ya Kanisa Katoliki na Askofu wa sijui Itigi au Tunduru inaonyesha jinsi gani hata usivyoielewa hii institution, Kanisa Katoliki ni zaidi ya Dini, Papa ni Mkuu wa nchi na ndiyo maana kuna Ubalozi wa Vatikani TZ, hata UN Vatikan City State ni Mwanachama kama vile TZ yetu ilivyo mwanachama, hivyo acha kumlinganisha Kardinali Pengo na kila mtu!
 
Haulielewi Kanisa Katoliki wewe, kama Kardinali hana huwo uwezo mwambie huyo Askofu aendelee kupiga domo hlf uone kitakachofwatia, Kardinali Pengo anawasiliana na Papa moja kwa moja, na Papa ndo Bosi wa Wakatoliki wote Duniani!
Unadhani mfumo wa Kanisa Katoliki ni kama ule wa Sizonje na Bashite?
 
Mkuu bigmind mimi nakuimba uondoe tu huu uzi maana zimekosekana kabisa akili za kujadili nondo ulizoziweka nikionacho ni mashabiki wa pande mbili tu kila mmoja akishabikia kwake.
Mfumo wa Kanisa Katoliki ni full dictatorship na Papa ana absolute power!
Are you planning to make any point so far?
 
Asa mbona pengo anajifanya ndiyo kiranja mkuu wa maaskofu na makardinali hapa tanzania??? Na serikali inamwogopa kama Mungu mdogo hapa tanzania??

Gwajima knew what he was doing....

Asante mkuu kwa nondo zilizo shiba,kuanzia leo pengo namuona mtu wa kawaida sana...
 
Asante mkuu kwa nondo hizi.

Mabashite hawawezi elewa kitu hapa.

Watabaki na ushabiki wa CCM na Chadema
 
Mkuu bigmind mimi nakuimba uondoe tu huu uzi maana zimekosekana kabisa akili za kujadili nondo ulizoziweka nikionacho ni mashabiki wa pande mbili tu kila mmoja akishabikia kwake.

Are you planning to make any point so far?
Ha! Ha! Ha! Huyo Barbarosa ni sifuri yenye masikio .
 
Pengo ni mtu mwenye madhambi mengi sana, nikienda church halafu nikaona Pengo ndio anaendesha misa huwa nageuza nilipotoka na kwenda kanisa jingine
 
Sheria ya kanisa inasema "alipo askofu ndipo Kanisa lilipo", SIO alipo Kadinali! Lakini pia Balozi wa Vatcani yupo na ni askofu, ....hivyo Pengo sio mwakilishi wa Papa.

Nimekuelewa sana mkuu.
 
Ni vigumu sana kutotuaminisha ' Wakatoliki ' kwamba Kadinali Pengo siyo Kiongozi wetu Mkuu hapa Tanzania wakati tumeshaaminishwa hivyo tokea miaka ya 80 hadi 90 wakati wa Hayati Kadinali Laurean Rugambwa. Nadhani hapa suala lisiwe kumjadili Kadinali Pengo na uhalali wa alichokisema ila tujikite zaidi katika kile alichokisema au msimamo wake juu ya suala zima la Katiba.
 
Haulielewi Kanisa Katoliki wewe, kama Kardinali hana huwo uwezo mwambie huyo Askofu aendelee kupiga domo hlf uone kitakachofwatia, Kardinali Pengo anawasiliana na Papa moja kwa moja, na Papa ndo Bosi wa Wakatoliki wote Duniani!
Wewe hujui ukatoliki kaa pembeni, Pengo ni askofu mkuu jimbo LA Dsm na siyo Tanzania. Inatosha kukuelewesha kama una nia ya kuelewa.
 
Kumbe hata wewe hulijui, mlei sio mtu mwenye uelewela mdogo bali ni mkatioliki asiye na daraja takatifu, yaani asiye padre au mtawa
Vatican II, iliweka watu wanaostahili kufasilimmafundishp na taratibu za kanisa..! Hao ndiyo tunawaita mama kanisa(uongozi wa kanisa) walio baki wote ni walei nao huwa wanafundishwa vitu kiduchu km sala.
 
Back
Top Bottom