Kadi za uanachama CHADEMA

mimi nataka magwanda ya chadema ntapata wapi dar

Ishu ya magwanda wengi uwa tunashona wenyewe tu...maana inategemeana na mshono unaoutaka,kuna yale ya kimapambano,kuna yale ambayo unaweza hata ingia nalo bungeni kama anayovaa mara nyingi M/kiti wetu kamanda Mbowe..Sasa inategemeana na wewe unapenda lipi.
 
Unaweza kuipata kupitia kwenye website yao. Pale utaandika details zako then watakutafuta kukukabidhi hard copy(kadi). Hii ni njia rahisi sana coz ndiyo niliyo2mia kupata uanachama 2009,na uanachama wa Bavicha 2011.
 
Mtaangaika sana mwaka huu na Kadi Magwanda sijui navyo vitapiga kura!
...umenikumbusha jambo la maana sana...kama zile picha za wagombea ubunge zilizokuwa zikibandikwa kila mitaa kipimdi cha uchaguzi 2010 zingeweza au ingeruhusiwa kupiga kura,basi hapa Mwanza mjini(jimbo la Nyamagana) mgombea wa magamba(MASHA) angeshindwa kwa tofauti ya kura chache sana na mgombea wa CDM{kamanda Wenje}...
 
Back
Top Bottom