Kadi za Ikulu anazigharamia nani?

Massenberg

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
1,173
1,370
Mwaka jana mtaalamu mkuu alipiga marufuku wizara na idara za serikali kutengeneza kadi za Xmas na vitu vya aina hiyo ambavyo husambazwa kwa madai ya kutokuwa gharama za msingi na kwa lengo la kuondoa matumizi mabaya ya fedha.

Mwaka huu zimetoka kadi kwenda kwa walengwa mbalimbali kama Clouds Media na wana-CCM wote Tanzania zikiwa zimesainiwa na yeye mwenyewe.

Nani anagharamia hii kitu na je, ina tofauti gani na zile alizokataza mwaka jana?
 
Back
Top Bottom