Kadi za CHADEMA zagombaniwa chuoni

Kadi za CHADEMA zagombaniwa chuoni

CDM ni chama cha wanyonge wote na siyo ccm chama cha vigogo na watoto wao. Wanaopopnda ni wale wanaofuta vumbi viatu vya familia za vigogo kwa kutaka kujipendekeza, hampati kitu. mifano hai ni ARUMERU,CHALINZE , HUKO KWA MGIMWA n.k. Poleni saaaana kwa kutojitambua
 
Jana kulikuwa na ugawaji wa kadi wa CHADEMA katika chuo cha SAUT Tabora na mara baada ya tangazo la uwepo wa kadi vijana walionekana wakipigana vikumbo kupata kadi hizo, ambapo baada ya mfupi kadi ziliisha.

Nilijaribu kuongea na baadhi ya vijana kwanini wamegombania kadi ya CHADEMA wakasema ''kuwa na kadi ya CHADEMA ni uzalendo na kuonyesha unaipenda nchi yako''

Hongera CHADEMA kwa kukubalika na wasomi wetu.

Uzuri wa mambumbumbu wa cdm ni kwamba we andika tu humu mtaani kwamba sasa hivi tunakusanya kadi zote za chama makiniCCM na tumeshagawa kadi milioni 80 na bado tunaendelea, mambumbumbu yatakenua moto na kuanza kusema chademani mpango wa mungu au miungu. Hawa watu huwa siwaelewi hawafanyi hata utafiti kidogo kujua lililoandikwa li sahihi au la. Yanashabikia utumbo kila kukicha na nadhani yapo kama matatu humu ndani kwa kubadiri Id:love: Sina uhakika na uelewa wao lakini nadhani ni hafifu ajabu.Wanajua kwamba jf ni mtambo wa majungu na mwongozo wa malofa bado ulofa umeshika kasi na kufikiri hata kama kibaby ni sifuri:rolleyez: People do not wish to appear foolish; to avoid the appearance of foolishness, they are willing to remain actually fools. Ahaaaa- Any fool can make a rule, and any fool will mind it:target:Until you're ready to look foolish, you'll never have the possibility of being great:shut-mouth:
 
Mtu akitaka pesa, anaingia CCM. Akitaka kuonesha uzalendo, anaingia CDM.
 
chadema mapambano yanaendelea wasomi karibuni sana,ila msije kufanana na mchumia tumbo kama kitila mkumbo, zitto kabwe na ------- zingine kama juliana shonza, habibu mchange adamu chagulani pamoja na kondoo zingine matata shibuda.nk
 
Uzuri wa mambumbumbu wa cdm ni kwamba we andika tu humu mtaani kwamba sasa hivi tunakusanya kadi zote za chama makiniCCM na tumeshagawa kadi milioni 80 na bado tunaendelea, mambumbumbu yatakenua moto na kuanza kusema chademani mpango wa mungu au miungu. Hawa watu huwa siwaelewi hawafanyi hata utafiti kidogo kujua lililoandikwa li sahihi au la. Yanashabikia utumbo kila kukicha na nadhani yapo kama matatu humu ndani kwa kubadiri Id:love: Sina uhakika na uelewa wao lakini nadhani ni hafifu ajabu.Wanajua kwamba jf ni mtambo wa majungu na mwongozo wa malofa bado ulofa umeshika kasi na kufikiri hata kama kibaby ni sifuri:rolleyez: People do not wish to appear foolish; to avoid the appearance of foolishness, they are willing to remain actually fools. Ahaaaa- Any fool can make a rule, and any fool will mind it:target:Until you're ready to look foolish, you'll never have the possibility of being great:shut-mouth:

You might be a fool by nature!
Being a fool does not means you don't know English!
ENGLISH so as other languages, can not verify one's intelligency!
 
Bora Mulugo kuliko Mwenyekiti wenu. Form six failure.

Bora anayejulikana kama F.6 failure kuliko anayeJIFANYA graduate kumbe anaendana na elimu ya MKEJU!
Sasa husianisha comment yako na kile nilichomjibu mtoa mchango!
Na mwishowe jipime kama wewe ni GT!
 
Ukiwa na kadi ya CHADEMA ni mtaji wa biashara mjini na kijijini!
Wakipita wanunua kadi kutoka chama cha magamba!
Bila Laki 5 haitoki.
 
Bora yake Mulugo asiyejua Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kuliko wewe!
Kilaza wa mwaka

Ambagae embu tafakari vizuri haya maneno alafu fikiri ki darasa la 5 ukimaliza conclusion jipe mwenyewe
 
viva chadema na hawa vijana wawe na uzalendo wa kweli kwa chama na taifa wasilete ushabiki.hongereni
 
Uzuri wa mambumbumbu wa cdm ni kwamba we andika tu humu mtaani kwamba sasa hivi tunakusanya kadi zote za chama makiniCCM na tumeshagawa kadi milioni 80 na bado tunaendelea, mambumbumbu yatakenua moto na kuanza kusema chademani mpango wa mungu au miungu. Hawa watu huwa siwaelewi hawafanyi hata utafiti kidogo kujua lililoandikwa li sahihi au la. Yanashabikia utumbo kila kukicha na nadhani yapo kama matatu humu ndani kwa kubadiri Id:love: Sina uhakika na uelewa wao lakini nadhani ni hafifu ajabu.Wanajua kwamba jf ni mtambo wa majungu na mwongozo wa malofa bado ulofa umeshika kasi na kufikiri hata kama kibaby ni sifuri:rolleyez: People do not wish to appear foolish; to avoid the appearance of foolishness, they are willing to remain actually fools. Ahaaaa- Any fool can make a rule, and any fool will mind it:target:Until you're ready to look foolish, you'll never have the possibility of being great:shut-mouth:

hizo kadi mil 80 mmewagawia akina nani au mmehesabu na zile za tangu Uhuru 1961, zilizochanwa na kuchomwa moto hadharani,..
 
Back
Top Bottom