Kadi za CHADEMA zagombaniwa chuoni

Kadi za CHADEMA zagombaniwa chuoni

Toka nimeanza kuifahamu ID yako sijawahi kuona umeandika kitu cha kuelimisha,kufurahisha wala cha kuonya jamii. Wewe ni mtu au limashine? Yaani hovyo hovyo! Bora kufuga bobi atabweka wezi wakija nyumbani kuliko kukaa na wewe. Nenda kapate tiba.

Sent from my iPad using JamiiForums
Wauwaji, wamwaga damu na wamwagia watu tindikali pekee ndio hawafurahishwi na michango yangu hapa jukwaani.
 
Uliona ile video ya kiongozi wa CCM aliyozungumza mbele ya Mwigulu kule Kalenga? Hao ndio wauaji na wamwaga damu. Na wameanza na Padre,laana kubwa hii.

Mkuu usihangaike na huyu jamaa ni mmoja ya watu walimaliza chuo wakaajiliwa na ccm kwenye kitengo cha propaganda na matusi kwenye mtindao. Tuliowengi tunapost humu kwa hiari yetu tukiwa na mawazo huru ndiyo maana utaona tofauti na hawa propagandist wa Lumumba. Hawewezi kupost kitu with their free mind maana akili yao ya kawaida wameshikiwa na Nape pale Lumumba. Kila wanachopost kiko audited na bosi wao Nape hivyo hawezi kupost kitu ambacho haikiitukani chadema wala mtu anayeitetea chadema. Wasipofanya hivyo ajira yao inakoma immediately. Mwingine maarufu siku hizi ni Simiyu yetu halafu eti ni mnyantuzu, sijawahi kusikia mnyantuzu kama huyu maana wanayatunzu hata wale ambao hawajakanyaga eneo la shule bado wanaujua uovu wa ccm na wameikataa mazima! Ukiona ccm wanashinda uchaguzi usukumani wamenunua kila kura waliyopata Muulizeni chenge kama anahamu nao!
 
michango yako hufurahiwa na misukule,punda wa mizigo na wachafu wote wasio na huruma na nchi yao! Jitambue!!!
 
Toka nimeanza kuifahamu ID yako sijawahi kuona umeandika kitu cha kuelimisha,kufurahisha wala cha kuonya jamii. Wewe ni mtu au limashine? Yaani hovyo hovyo! Bora kufuga bobi atabweka wezi wakija nyumbani kuliko kukaa na wewe. Nenda kapate tiba.

Sent from my iPad using JamiiForums

Upo kama Mimi ndo maana cjiangaishi nae c unajua amepata four form four
 
Niliwahi kusikia kuwa CCM inapendwa na matahiira! kuna ukweli hapo
 
Hawajitambui''' ilishatokea chuoni kwetu miaka hiyoooo kumbe walikuwa wakigombania madaraka mwishowe kila mmoja akachukua chake na kusepa. R.I.P CDM.

Chuo gani umesoma wewe papasi mdogo tu wewe
 
Mkuu usihangaike na huyu jamaa ni mmoja ya watu walimaliza chuo wakaajiliwa na ccm kwenye kitengo cha propaganda na matusi kwenye mtindao. Tuliowengi tunapost humu kwa hiari yetu tukiwa na mawazo huru ndiyo maana utaona tofauti na hawa propagandist wa Lumumba. Hawewezi kupost kitu with their free mind maana akili yao ya kawaida wameshikiwa na Nape pale Lumumba. Kila wanachopost kiko audited na bosi wao Nape hivyo hawezi kupost kitu ambacho haikiitukani chadema wala mtu anayeitetea chadema. Wasipofanya hivyo ajira yao inakoma immediately. Mwingine maarufu siku hizi ni Simiyu yetu halafu eti ni mnyantuzu, sijawahi kusikia mnyantuzu kama huyu maana wanayatunzu hata wale ambao hawajakanyaga eneo la shule bado wanaujua uovu wa ccm na wameikataa mazima! Ukiona ccm wanashinda uchaguzi usukumani wamenunua kila kura waliyopata Muulizeni chenge kama anahamu nao!

Ha ha ha ! Naona leo hata posho yake itakuwa deducted kwa 30% maana kaingia hovyo na amepondwa sana katika thread hii kiasi cha kufanya boss wake atajwe wazi. Sasa hebu nisaidie hesabu kidogo Tshs 7,000/ less 30% = A . Leo ataambulia A, so what is A?

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Hawajitambui''' ilishatokea chuoni kwetu miaka hiyoooo kumbe walikuwa wakigombania madaraka mwishowe kila mmoja akachukua chake na kusepa. R.I.P CDM.

nakufananisha na mtoto wa mjumbe wa kamati kuu ya ccm , ni kweli ?
 
CHADEMA NI CHAMA CHA KISASA MNO ! Kila MPIGANIA UHURU NI LAZIMA AMILIKI KADI YAKE .
 
Uliona ile video ya kiongozi wa CCM aliyozungumza mbele ya Mwigulu kule Kalenga? Hao ndio wauaji na wamwaga damu. Na wameanza na Padre,laana kubwa hii.

Sent from my iPad using JamiiForums

usihangaike na ROBOT , haliishi nguvu mpaka umeme ukatike .
 
wanataka waweke kumbukumbu ya kuwa na kadi za magaidi
 
Back
Top Bottom