Said Bagaile
JF-Expert Member
- Jun 23, 2011
- 686
- 256
Magaidi hayawezi kuwa mpango wa mungu, labda mungu wa mabox
Una utani na Lukosi wewe, umekosa sehemu ya kumtukania, ukapenyeza tusi lako kwenye thread hii.
Magaidi hayawezi kuwa mpango wa mungu, labda mungu wa mabox
CHADEMA NI CHAMA CHA KISASA MNO ! Kila MPIGANIA UHURU NI LAZIMA AMILIKI KADI YAKE .
Jana kulikuwa na ugawaji wa kadi wa CHADEMA katika chuo cha SAUT Tabora na mara baada ya tangazo la uwepo wa kadi vijana walionekana wakipigana vikumbo kupata kadi hizo, ambapo baada ya mfupi kadi ziliisha.
Nilijaribu kuongea na baadhi ya vijana kwanini wamegombania kadi ya CHADEMA wakasema ''kuwa na kadi ya CHADEMA ni uzalendo na kuonyesha unaipenda nchi yako''
Hongera CHADEMA kwa kukubalika na wasomi wetu.

Hivi gaidi ni nani kati ya waliomng'oa Ulimboka meno!? Kibanda macho? Je Ritz1 yuko chama gani!?? ataendelea kuua hadi lini!?Magaidi hayawezi kuwa mpango wa mungu, labda mungu wa mabox
Magaidi hayawezi kuwa mpango wa mungu, labda mungu wa mabox
SAUT-TABORa hawajitambui
Magaidi hayawezi kuwa mpango wa mungu, labda mungu wa mabox
Acha porojo miaka hiyo ni ipi na ni madaraka gani yanayogombaniwa, mimi mbona nina kadi ya CDM na niliichukua nikiwa chuoni na sikuixhukua kwa ajili ya madaraka? Wanaochukua kadi kwa ajili ya madaraka wapo CCM kwani G.Mgimwa Uhai wa kadi yake ya CCM haujafikia hata mwaka mmoja.Hawajitambui''' ilishatokea chuoni kwetu miaka hiyoooo kumbe walikuwa wakigombania madaraka mwishowe kila mmoja akachukua chake na kusepa. R.I.P CDM.
Wachukue tu kadi ila kwenye box wataipigia ccm!
chadema ni chama cha wezi na mafisadi