Jana kulikuwa na ugawaji wa kadi wa CHADEMA katika chuo cha SAUT Tabora na mara baada ya tangazo la uwepo wa kadi vijana walionekana wakipigana vikumbo kupata kadi hizo, ambapo baada ya mfupi kadi ziliisha.
Nilijaribu kuongea na baadhi ya vijana kwanini wamegombania kadi ya CHADEMA wakasema ''kuwa na kadi ya CHADEMA ni uzalendo na kuonyesha unaipenda nchi yako''
Hongera CHADEMA kwa kukubalika na wasomi wetu.