Mchekechoni
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 275
- 19
- Thread starter
-
- #41
Yaani hivi vijamaa vinanikera?.....Viswahili sana!....Mbaf...Ndo Makamba kaweka historia ya Katibu Mkuu asiyekuwa na digrii!...
kuna jambo moja tu, nasubiri then hiyo kadi nitaitumbukiza chooni,am fed up vibaya mno. na huyo Makamba kusema milango imefunguliwa kumenipa hasira vibaya mno......tumekitumikia chama leo,mpuuzi mmoja kisa tumehoji kuhusu DOWANS anasema milango imefunguliwa.....lets see,am happy when they are frustrated......tuko wengi tu kila siku tunajadili tufanyeje na hizo kadi.......bora usiwe na chama kuliko uwe na chama kinachokuangamiza wewe na kizazi chako......umeme tabu,huduma za afya mbovu,miundombinu ndo hiyo,elimu ndo hiyo yaani........:A S 20:
irudishe ulipoitoaTuko maelfu kwa maelfu wanachama hai kabisa wa chama cha mapinduzi, lakini tumechoshwa kabisa jinsi chama kinavyozidi kutumbukia shimoni kila kukicha, tufanyeje? Na hizi kadi zetu tumeshazilipia hadi Dec.2011, tuzifanye nini? JK uenyekiti umemshinda, na Msekwa umri umesonga, Makamba ndio ucseme, naona tupangue sekretarieti nzima tuanze tena moja kama mwaka 1977, au wana ccm wenzangu mnasemaje? Tukidharau mwiba, guu litaota tende na wananchi wanazidi kuteseka. Viva ccm viva, ila ufisadi ni kansa na dawa ya kuutokomeza tunayo sisi wananchi!
Bado ninayo maana naamini katika mapinduzi ya dhati sambamba na azimio la arusha(misingi ya utu). Kwa sasa silipi ada! Uchaguzi mkuu uliopita sikukipa kura yangu mimi na rafiki zangu maana tunataka mapinduzi yale tuliyolilia na enzi za Mwaaaalimu.bado una kadi ya ccm?
Bado ninayo maana naamini katika mapinduzi ya dhati sambamba na azimio la arusha(misingi ya utu). Kwa sasa silipi ada! Uchaguzi mkuu uliopita sikukipa kura yangu mimi na rafiki zangu maana tunataka mapinduzi yale tuliyolilia na enzi za Mwaaaalimu.
Tuko maelfu kwa maelfu wanachama hai kabisa wa chama cha mapinduzi, lakini tumechoshwa kabisa jinsi chama kinavyozidi kutumbukia shimoni kila kukicha, tufanyeje? Na hizi kadi zetu tumeshazilipia hadi Dec.2011, tuzifanye nini? JK uenyekiti umemshinda, na Msekwa umri umesonga, Makamba ndio ucseme, naona tupangue sekretarieti nzima tuanze tena moja kama mwaka 1977, au wana ccm wenzangu mnasemaje? Tukidharau mwiba, guu litaota tende na wananchi wanazidi kuteseka. Viva ccm viva, ila ufisadi ni kansa na dawa ya kuutokomeza tunayo sisi wananchi!
Edson, kadi yangu ya ccm ninayo na ina picha yangu na risiti ya ada niliyolipia hadi Dec.2011 hilo si jambo baya hata kidogo. Sasa problem ni uongozi ndani ya chama chetu, ujue uongozi ukiwa mbovu chama kinadorora dorooo...lakini uongozi ukiwa imara hakuna fisadi atakayekatiza na watz wote wataipenda ccm. Hoja si kukihama chama au kutupa kadi chooni, mimi naijua vema ccm ilikotoka ila kwa kweli inakokwenda ndio ckujui. CCM ya jana sio hii inayosherekea kuzaliwa kwake leo, believe me! Niifanye nini kadi yangu ya ccm jamani, nina uchungu na taifa langu!
Tuko maelfu kwa maelfu wanachama hai kabisa wa chama cha mapinduzi, lakini tumechoshwa kabisa jinsi chama kinavyozidi kutumbukia shimoni kila kukicha, tufanyeje? Na hizi kadi zetu tumeshazilipia hadi Dec.2011, tuzifanye nini? JK uenyekiti umemshinda, na Msekwa umri umesonga, Makamba ndio ucseme, naona tupangue sekretarieti nzima tuanze tena moja kama mwaka 1977, au wana ccm wenzangu mnasemaje? Tukidharau mwiba, guu litaota tende na wananchi wanazidi kuteseka. Viva ccm viva, ila ufisadi ni kansa na dawa ya kuutokomeza tunayo sisi wananchi!
Endelea kulipia kadi yako ili uwe mwanachama hai, nashauri usichoke kutoaushauri wako katika chama chako. si mna vikao kwan vikao vyenu vimekwisha?Tuko maelfu kwa maelfu wanachama hai kabisa wa chama cha mapinduzi, lakini tumechoshwa kabisa jinsi chama kinavyozidi kutumbukia shimoni kila kukicha, tufanyeje? Na hizi kadi zetu tumeshazilipia hadi Dec.2011, tuzifanye nini? JK uenyekiti umemshinda, na Msekwa umri umesonga, Makamba ndio ucseme, naona tupangue sekretarieti nzima tuanze tena moja kama mwaka 1977, au wana ccm wenzangu mnasemaje? Tukidharau mwiba, guu litaota tende na wananchi wanazidi kuteseka. Viva ccm viva, ila ufisadi ni kansa na dawa ya kuutokomeza tunayo sisi wananchi!
mAKAMBA POLE SANA MKUU! ILA CCM IMECHOKA MKUU!Acha ujinga kama umekichoka Chama basi rudisha kadi yao na chukua ya chama unachokitaka. Vile vile kuwa na kadi ya chama zaidi ya kimoja sio dhambi wala uvunjifu wa sheria.
fanya maamuzi sahihi na sio kuleta hoja mgando hapo. Kuna wengi wanajiunga na wengi wanajitoa lakini chama kimayea na kuchukua ushindi wa sunami.
Jitoe tu wengine wengi wanataka kuingia.
wewe nakushauri uhamie chademaTuko maelfu kwa maelfu wanachama hai kabisa wa chama cha mapinduzi, lakini tumechoshwa kabisa jinsi chama kinavyozidi kutumbukia shimoni kila kukicha, tufanyeje? Na hizi kadi zetu tumeshazilipia hadi Dec.2011, tuzifanye nini? JK uenyekiti umemshinda, na Msekwa umri umesonga, Makamba ndio ucseme, naona tupangue sekretarieti nzima tuanze tena moja kama mwaka 1977, au wana ccm wenzangu mnasemaje? Tukidharau mwiba, guu litaota tende na wananchi wanazidi kuteseka. Viva ccm viva, ila ufisadi ni kansa na dawa ya kuutokomeza tunayo sisi wananchi!
Ngoja tuone watakavyofanya DOWANS, ndio kitaeleweka. Maana dado kuna watu wanaleta mchezo.