Kadi ya dstv kwenye mpeg4 4669xii strong

Robert mp

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2013
Posts
200
Reaction score
21
Habari wanajf.naombeni msaada kama kuna software ya kuifanya smartcad ya dstv inafanye kazi kwenye mpeg4 4669xii nikiilipia hiyo kadi.kwani nina kadi ya dstv ila sina decorder yao.msaada tafadhari wakuu
 
Haiwezekani
 
Nashukuru kwa mawazo yenu.ila ngoja nisubiri waje wataalamu wengine.
 
Back
Top Bottom