Kada zipi ambazo zinaweza kuepuka kuhojiwa au kuwajibishwa na Makonda

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
37,683
46,371
Katika kada ambazo Makonda anaweza kushindwa au kukwama kuzihoji hadharani hata kama ikitokea kukawa na malalamiko dhidi yake ni pamoja na

1. Mahakama; Majaji na Mahakimu
2. Uhamiaji
3. Jeshi
4. TISS
6. Wizara ya Mambo ya nje
7. Wizara ya habari na Mawasiliano

Nyingine unaweza kuongezea
 
Sizungumzii kisheria, nazungumzia kisiasa.
Sasa hiki ndio kitu gani tena...

Haiwezekani mtu awekewe sheria za kumbana kwenye utekelezaji wa majukumu yake, guys find a way to deal with Makonda, huyu mtu keshawazidi mbinu.

Simply put, kama Makonda amempigia RPC akiwa kwenye mkutano, nawe Heche au Lema mpigie RPC ukiwa kwenye mkutano wa watu wako, sio kulalamika tu.

Wengine ooh anafanya siasa tu, sijui wanataka afanye uchumi.!!

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
😂😂
 
Unazo hizo sheria za ku-support hiki ulichoandika?

Au nawe ni wale wale tu. Mnatakiwa kutafuta namna ya ku deal na Makonda badala ya kuendelea kupoteza muda kulalamika na kumtukana kila siku.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Makonda ni vampire, anayofanya hayakijengi chama kwa kuwa hana uwezo wa kutatua chochote yeye kama Mwenezi wa CCM.

Aliahidi makatapila ishirini yapata 3 weeks ago akiwa jimbo la Kawe, sijaona katapila hata moja.

Masuala ya ardhi kwa mfano hawezi kuyatatua kwa vile yana mfumo wake kisheria.

Yeye anajijenga mwenyewe wala hajengi chama
 
Hii kusema aliahidi hiki lakini hajatekeleza ni suala mtambuka, inawezekana hapa asitekeleze lakini pale akatekeleza, na kama hiki kikifanyika tayari anakuwa ameshawapata wakumuunga mkono.

Issue hapa ni hivi, kama Makonda anafanya siasa kwa kumpigia RPC, na wengine nao wawapigie hao RPC wakiwa na kero zao, ili wananchi nao wajue, kumbe sio lazima Makonda aje hapa ndio tuongee na RPC, ili hiki ki haki anachoonekana kuwa nacho Makonda kigawanywe kwa wengine.

Lakini sio kulalamika kila siku na kuishia kumtukana matusi ya nguoni, kufanya hivyo kwangu naona ni sawa na chizi aliyeiba nguo zako nawe unaamua kumkimbiza ..

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Makonda ni vampire, anayofanya hayakijengi chama kwa kuwa hana uwezo wa kutatua chochote yeye kama Mwenezi wa CCM.

Aliahidi makatapila ishirini yapata 3 weeks ago akiwa jimbo la Kawe, sijaona katapila hata moja.

Masuala ya ardhi kwa mfano hawezi kuyatatua kwa vile yana mfumo wake kisheria.

Yeye anajijenga mwenyewe wala hajengi chama
Sadist
 
Back
Top Bottom