Lazima wewe ni mchawi.Huyo aliyekubali kununuliwa na cdm (cheap amount) kwenda mpaka igunga na kuuliwa ili mpate public sympathy..
Ili mpate madaraka for you ill-intentions anahitaji elimu na kuondolewa upumbavu wake...
namsikitia zaidi kwakuwa hajui yeye ni muislam ni target group kwa cdm (kama walivyomfanya kwa hijab)
Vijana wanatumika vibaya
Inawezekana cdm wamemua ili kupata public sympathy kama kawaida
Besides, I reserve my comments mpaka uchunguzi ufanyike..
Kwanini atolewe temeke aende mpaka igunga? wanatumika vijana very cheap
Asee, hii mbaya.
ngoja nitafakari kwanza nitarudi!!
Kama ni kweli, kiumbe huyu wa MUNGU uhai wake umepotezwa na mafedhuri wa Kisiasa, basi haki ya Mungu watanzania lazima tutachinjana. Nasema bila kumun'gunya maneno. Sababu ni moja tu, damu ya kijana huyo i juu yetu watanzani wote. Na tunaponzwa na ukimya wetu wa kutokemea na kutochukua hatua wa haya yafanywayo na utawala wa kifalme pamoja na vyombo vyake vya dola kwa maslahi la kundi dogo la Shetani.
Bakwata haiongozwi na watu majuha.Hatuwezi kujiingiza kwenye jambo la dhana.Pale Igunga tulipolaani tuliwaona Chadema wakimkokota bi Fatma Kimaro kweupee.Hii kwamba maiti imekutwa nyuma ya gereza si lazima wauwaji wawe CCM.Uwezekano ni kuwa ni Chadema wakiwa na shutuma fulani kwa Mbwana kwamba kwa vile ni muislamu aliwasaidia CCM.
Usiwe na wasiwasi, TZ ina wenyewe. Wazalendo wa kweli tutailinda nchi, kufa kupona. Kamwe Tz haiwezi kuangukia mikononi mwa MANYANG'AU, Magwanda included.
amen. where the pics are? i really wanna see them.
nawashangaa humu nyote siwaelewi mtu aliye mwagiwa tindikali mna sema CCM lolote baya mnasema ccm tuache huu unafiki. Sasa hili laleo mna sema CCM, kama si unafiki mnauendeleza. Nini tuwe wakweli penye ukweli tuwe wakweli. Huyu mtu katoka dar es salaam mpaka tabora igunga. Chama kilichompeleka kama wakala ndicho kimehusika na mauaji ya kijana wetu ndugu yetu kwa maslahi ya chama chao kwani wao hawaoni shida kupoteza mtu kwa maslahi ya chama. Kwani igunga kulikuwa hakuna mawakala. Inaonesha dhahiri chama hicho kisivyo waamini raia waeneo
husika la uchaguzi. Lazima viongozi chama hicho wawajibishwe kwani ndio wamesababisha kifo cha marehemu mbwana.