Filipo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 9,347
- 5,555
Weka picha
Kiongozi mkubwa kama wewe unakuja na sweeping analysis bila ushahidi.
Mtoi njmekudharau sana.
Acha uvivu wa kufikiri na kutafuta habari. Unataka upewe kila kitu kama mke wa kiswahili.

pamoja na tofauti ze2 za vyama tusisahau sisi bado watanzania jamani! Sisi ni ndugu!
Mbumbumbumbu Wa bavicha unashabikia taarifa ambayo haina ushahidi Wa kutosha.
Mlichinja msafiri mbwambo kule Arumeru, mkaua Mbwana Masudi Igunga, mkaua Ally Zona Morogoro, mkaua Soweto, mkaua Arusha mjini, mkaua Bukombe na kote huko ushahidi niwa wazi na hakuna hatua zozote zilizo chukuliwa.
Iko siku moja hizi itikadi za kisiasa tutazifanya kuwa imani zetu, na hapo ndio tutashuhudia makubwa na ya ajabu kutoka kwa watanzania.
pamoja na tofauti ze2 za vyama tusisahau sisi bado watanzania jamani! sisi ni ndugu!
Unaweza kuonyesha hizo sweeping analysis?Weka picha
Kiongozi mkubwa kama wewe unakuja na sweeping analysis bila ushahidi.
Mtoi njmekudharau sana.
siku mtu anaamka tumbo lina muuma atasema kaz ya CCM
Kwa nini CCM ni wanyama kiasi hiki? Hakuna uchaguzi hata mmoja ambao viongozi au wapenzi wa CHADEMA walikosa kuuawa. Hivi CCM wanadhani CHADEMA ikiamua kulipiza kisasi watasalimika? CCM itambue kuwa CHADEMA/vyama vya upinzani vimejengwa na vijana wenye nguvu kuliko CCM inayotegemea vikongwe na watu wenye upeo mdogo.
Kikwete unafanya nini? Unapanda mbegu gani? Kama umeshindwa aheri uondoke ukiwa umeiacha nchi ikiwa katika hali tulivu. Uongozi huu wa Kikwete tumeshuhudia matukio mengi ya mauuaji yanayohusiana na mambo ya kisiasa kuliko awamu yoyote ile!