GE2025 Kada wa CCM ampasua Rostam Aziz!

GE2025 Kada wa CCM ampasua Rostam Aziz!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Ileje

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
11,797
Reaction score
18,038

====
Alichokizungumza ni kuwa hoja za Rostam Aziz ni dhaifu kwenye kumjibu Humphrey Polepole. Amesema hayuko upande wa Polepole lakini hoja za Rostam Aziz si sahihi hivyo ametoa wito kwa CCM kutumia wasomi wa kumjibu Polepole

Pia Soma >> GE2025 - Polepole ni mwana CCM wa itifaki na maslahi - Rostam Aziz
 
Kweli kabisa

Mfano aliposema kwamba Polepole ni mtu alichomekwa tu ccm,eti haijui ccm
 
View attachment 3431078

====
Alichokizungumza ni kuwa hoja za Rostam Aziz ni dhaifu kwenye kumjibu Humphrey Polepole. Amesema hayuko upande wa Polepole lakini hoja za Rostam Aziz si sahihi hivyo ametoa wito kwa CCM kutumia wasomi wa kumjibu Polepole

Pia Soma >> GE2025 - Polepole ni mwana CCM wa itifaki na maslahi - Rostam Aziz
Huyu mtu ni muongo sijapata kuona rostam aziz,igunga ni kwao,ana nyumba za ukoo na ana duka na mara nyingi alikuwa anakuja igunga,tena sio mara moja,tatizo ni watu kutomjua rostam
 
Anataka kufanana na January nikajua pameanza kuchangamka🐼
 
View attachment 3431078

====
Alichokizungumza ni kuwa hoja za Rostam Aziz ni dhaifu kwenye kumjibu Humphrey Polepole. Amesema hayuko upande wa Polepole lakini hoja za Rostam Aziz si sahihi hivyo ametoa wito kwa CCM kutumia wasomi wa kumjibu Polepole

Pia Soma >> GE2025 - Polepole ni mwana CCM wa itifaki na maslahi - Rostam Aziz
Rostam mwenyewe anasema kumuongelea pole pole ni kumpa kiki za bure .na alimuongelea Kwa kua kaulizwa .
Shughuliken na lissu atoke jela sio pazur huyo pole pole miezi miwili nyuma mlikua hamtaki hata kumsikia
 
Back
Top Bottom