Ethical Ninja CEH
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 3,695
- 5,053
"sizitaki mbichi hizi" kwa ni nini msitue mapema kama lilikuwa zigo? hamna jipya ccm.
Hiyo siasa ya maji taka
Unanikumbusha hadith ya Sungura aliposema SIZITAKI MBICHI HIZI
Kwa vyovyote vile we umevurugwa na akina mwiguluneti.wapigania tumbo wako chadema eg. Babu Slaa, Mbowe, lEMA, Sugu na jamii ya akina Msigwa
Soma vzr bw Baruan nimesema namkubali bw Gashaza cyo Dr Bujari uyo najua anatafuta ubunge tu hakuna kingine na hawezi kuupata kwa tiketi ya chama chochote.wameshindwa akina Ruhuza yeye ndo ataweza.Rugatensa unasema Bujari anaipenda Ngara? kweli tumepoteza uwezo wa kuona mbali kama sio kwamba tunatoa hoja kwa sababu ya matumbo yetu... u
Soma vzr bw Baruan nimesema namkubali bw Gashaza cyo Dr Bujari uyo najua anatafuta ubunge tu hakuna kingine na hawezi kuupata kwa tiketi ya chama chochote.wameshindwa akina Ruhuza yeye ndo ataweza.
Kada wa CCM jimbo la Ngara, Dr Peter Bujari ametangaza uamuzi wa kujitoa CCM na kujiunga na CHADEMA hivi punde.
Amewaambia wanahabari kuwa CCM imeshindwa kuondoa kero mbalimbali.
Pia amesema amejiunga na CHADEMA kutokana na sera na Uongozi thabiti. na usioyumba wa Mwenyekiti Freeman Mbowe na Katibu Mkuu Dr Wilbroad Slaa.
Source:Mwananchi Breaking News.
Soma vzr bw Baruan nimesema namkubali bw Gashaza cyo Dr Bujari uyo najua anatafuta ubunge tu hakuna kingine na hawezi kuupata kwa tiketi ya chama chochote.wameshindwa akina Ruhuza yeye ndo ataweza.
Ingekuwa ni sera zingine si angejiunga muda mrefu uliopita maana zilikuwepo toka 2010,kilicho kipya kwa mwezi huu ni hiki cha gongo,ndio maana nashawishika kuwa labda anaposema sera anamaanisha "gongo".
aho ulavuze... japo Gashaza anaonekana kuwa na tamaa ya ubunge na anatapatapa sana. Unamuonaje MNEC.....ISSA SAMMA?
Poa karibu usije kuwa umetumwa
cdm isidharau bandiko hili!mimi sio mwanachama wa CCM ila nalaan na kupinga wanaomuita Dkt Bujari kada wa CCM. na ntaweka sababu
1) huyu jamaa ameanza kufahamika kwenye siasa za Ngara baada ya kutangaza nia ya kugombea ubunge hiyo inaleta picha kwamba alichofuata CCCM ni UBUNGE tu nashukuru watu wa Ngara tulimuelewa
2) chaguzi za ndan ya chama jamaa hajawahi kuchangia chochote na uchaguzi uliopita jamaa alipoombwa mchango alitoa maneno ya kejeli
3) ni mkabila, jamaa alianzisha DIVIDE AND RULE kwa kutaka kutugawa wana Ngara. Hapa Mkazi wa Ngara ataelewa tofauti kdogo iliyopo baina ya Bugufi na Bushubi jamaa alieendeleza kampeni za tumchague WAKWETU
4) baada tu yakupigwa chini kwenye uchaguzi wa ndani ya chama magari yake yalianza kupeperusha bendera za CHADEMA nalazimka kuamini hata huko ndicho anachofuata
kwa taarifa zaid nasikia amekuwa mchungaji na anampango wa kuanzisha kanisa lake pale Rulenge,
Kweli CDM mmepata jembe
aho ulavuze... japo Gashaza anaonekana kuwa na tamaa ya ubunge na anatapatapa sana. Unamuonaje MNEC.....ISSA SAMMA?
Khaa mi nimedhani kwa kuwa wewe umeinasibu kama mtu huru kujadili hoja nikajua unajadili ubora wa mtu kumbe unajua unachotetea sasa Mnec katokea wapi sasa....maccm bwana kumbe huna lolote ni kutapatapa tu...Idiot
Huyu Dr Bujari tumwangalie kwanza ametafuta ubunge kupitia CCM akapigwa chini na kiukweli kupitia ccm hawezi kupata ubunge anachofanya saiv ni kama Gashaza alizunguka badae akaona kuludi ccm mbali nakwamba ni mtu anaependwa sana Ngara binafsi namkubali sasa Dr Bujali ajiandae kupambana na Dr Sebuyoya ila tatzo la wilaya ya Ngara Bado sana watu wengine ukienda Busubi wanajua nyerere ndo raisi