"Kachero" na Hatima ya CCM 2020

Kama kweli fisiem mna akili timamu ebu jaribuni ku figure it out ule wizi mlioufanyya uchaguzi wa 2015....
sasa image jazba hasira na ugwadu za watanzania zimeongezeka mara 10 juu yetu... Hamtoki hata kwa nini... Next yahya jamme is coming up 20/20... Hilo hali itaji akili za ziada kabisa kabisa yaani...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je,Swala la bombadier inawezekana ni kachero ndo kaiweka hadhari?[/QUOTE]
Ewaaaa!! Umepiga penyeww
 
Uzi huu pamoja na habari mbalimbali kwenye vyombo vya habari unaweza fikiri uchaguzi mwezi ujao? Hii inasikitisha sana vyama vingi vinafanya mambo ya maendeleo kumezwa na siasa pia huanzishwaji miradi ya kifisadi kuliko uwekezaji wa kwenye kilimo. Tunashindwa tumia ukubwa wa ardhi Tanzania kuzalisha chakula cha kutosha kuna masoko Congo , Sudan, Somalia , Rwanda na nchi nyingine tunafikilia nani kuwa raisi haaaaaaaaa. Hadi Leo naamini bila uwekezaji mpana kwenye kilimo kama taifa maendeleo yatachukua mda sana
 
Wajinga nyie hata mlisema Mkapa kawa kimya kwa KIKWETE
 
Inaonyesha jinsi gani hamjui hata ukubwa wa cheo alichonacho Raisi wa Jamhuri,yani huu uharo ulioandika hapa wewe uwe na taarifa nao JPM asijue?.. Halafu,nadhani mna matatizo kibao huko kwenye chama chenu,kwa style hii ndo maana mpaka July 2015 mlikuwa ndani ya CDM na UKAWA hamjui mtamsimamisha nani kuwa mgombea wa uraisi,maana mnakaa kipindi chote hiki mnapiga blah blah tu kuhusu CCM,na wewe tukuulize ya CDM,mwenye chama na mnunuzi wa chama LOWASSA atakubali LiSSU apitishwe kugombea uraisi na hali yeye kashatangaza akiwa KENYA?,huoni huo ndo mtiti wa kujadili hapa namna moto utakavyowaka kuliko kujadili ya upande wa pili?
 
Kuliko Membe bora Jpm mara millioni

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
 
Una hisi Nape au Membe wanaweza wakamfanya nini Rais mkuu.Kama walimmaliza Mkuu wa makachero/usalama Kombe iweje kachero tu wa Ikulu awaumize kichwa?Huyo wakitaka kumalizana na ma dakika tu na ukiona ana survive ujue sio threat kwao.

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
 
Mie hao Chama Cha Majangili hatawakiuana shauri hao wamekula imetosha.
 
Membe ni garasa. Garasa la kutupa tu. Hamna kitu pale yaani empty kabisa. Membe hawez kuwa rais wa tanzania hata kama tanzania imekuwa kichwa cha mwendawazimu lakini si haki kufikia kuongozwa hata na watu ambao ni hopeless kabisa.

Magufuli hawez nyimwa usingiz na membe. Mwandishi wa hii thread ni membe mwenye au mdada wa karibu yake. Maana tulioko huku tunajua membe hana impact yoyote ccm hata mkoani kwake tu. Alikuwa akibebwa na ndugu yake kikwete lakini kwa sasa ameshasahaulila na hakuna wazee wenye akili wanaoweza kumtaka membe awe rais. Hakuna.

Ni watu wachache ambao mkapa huwaita wapumbavu ndo wnaweza luwa na mawazo ya kipuuzi kama yako. Nchi hii rais angekuwa membe ningeenda kuomba uraia sudan au somalia niepukane na aibu ya karne hii.



 
Huyu 'kacheru' ndio alisema maadui zake watakimbilia kenya ? na sasa hivi namuona 'Elinino' akienda enda 'umasaini' ya nchi jirani sasa na yeye 'kacheru' ataenda ziwa Nyasa kuogelea
 
Bila nguvu ya mwenyekiti wa sasa kipind kile kudondoka ilikuwa waz waz ndo mana zile kampen lilitumika sana jina la mwenyekiti kuliko chama sasa tumekijenga nadhan 2020 litatumika jina la chama kulko mwenyekiti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe huna lolote la msingi hapa. Unachojaribu ni kutafuta attention ya watu. Hizi zako ni riwaya mkuu chama kiko imara na hamna kinachofanywa kwa kukurupuka mambo yote yapo kwenye mpango kazi wa chama.

By the way hiki
chama sio cha mtu mmoja kama kilivyo Chadema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katiba ilishabadilishwa ili nalo hamjalijua 2020 dikteta ccm ni free
 
Hili kosa baya sana. Tena hata kama watu walikua ndani ya hifadhi, lkn ki ubinadamu walipaswa kufikiriwa namna ya kustiriwa ki binadamu, na ikizingatiwa kwa kiasi kikubwa nchi yetu haijapimwa na wananchi wana uwelewa Mdogo sana masuala ya sheria. Tena kibaya zaidi wengi wao ni walala hoi ambao nyumba yenyewe aliipata ki bahati bahati tu.
 
Wanatumia madaraka vibaya lakini wajue kuwa matumizi mabaya ya madaraka yatawacost kwa baadae....nawahurumia sana wale watoto ambao wanalala nje na kuathiriwa kwenye masomo yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…