Kachanganyikiwa sababu ya utumbo wa mbuzi.

Mama, kwani nakuzuga vipi tena,wenzetu hawana kawaida ya kuficha yaliyo mioyoni mwao,akipenda kitu anakueleza hapohapo na ukweli ni kuwa sikuwa nimemtongoza ila nilikuwa na mpango huo.

Haiwezekani akurupuke tu akakutambulishe kwao bwana bila hata kuitana sweetie, honey, my love, my darling hata siku moja wewe PM sie watu wazima uuje lakini usicheze na akili za watu banaaa
 
Nkwingwa huniamini?Kwa mapishi mimi ni mwisho na huwa nikiwapikia wanachanganyikiwa,huu ni mwaka wa tisa sasa naishi bachelor life.

Hao Germany hampshires huangalia mambo mengi sana! Kupika wala si kigezo labda kama ni muitaliano. It's a good story thou
 
Mie naona nikisoma between lines napata kigugumizi kama hadithi vile na uzugaji tuuu huuu

Uzugaji vipi tena?Wenzetu walishavunja ukimya zamani na wanasema waziwazi yaliyo mioyoni mwao,na hata mapenzi yao ni tofauti na sisi.Wakati sisi mtu anataka mwanaume awe na VX sijui Hammer,wenzetu wanapenda tofauti ndio kama mimi sasa.
 
Yote maisha! Hayana formula!nenda tuu mwanangu kwa wazazi.watu wameoa wabongo wenzao lakini matatizo tuu!
 
Hao Germany hampshires huangalia mambo mengi sana! Kupika wala si kigezo labda kama ni muitaliano. It's a good story thou

Nkwingwa fanya tena homework yako,hawa watu hakuna binti mgumu kumpata kama mtaliano na hakuna binti rahisi kumpata kama mjerumani,na hali hii imefanya wanaume wa kijerumani kuwa na chuki kubwa kwa foreigners.
 
Haiwezekani akurupuke tu akakutambulishe kwao bwana bila hata kuitana sweetie, honey, my love, my darling hata siku moja wewe PM sie watu wazima uuje lakini usicheze na akili za watu banaaa

Labda nikuulize tu,unaelewa maana ya neno first date?
 
Wewe mtani kwani tatizo liko wapi kama analipa wewe nenda tu kwa wazazi mkuu! alles gute!

Sawasawa mtani nimekusoma na asante sana, Katoto kanalipa ila kilichonishtua ni kuambiwa kamenipendea mapishi ya utumbo,lakini hamna noma wacha nijaribu kujitosa tuanze mambo ya ich bin.
 
Sawasawa mtani nimekusoma na asante sana, Katoto kanalipa ila kilichonishtua ni kuambiwa kamenipendea mapishi ya utumbo,lakini hamna noma wacha nijaribu kujitosa tuanze mambo ya ich bin.

Heheheheh! Ich bin PM, und ich komt aus TB! hahahhah! kazi unayo mtani, mbona watu wako poa tu hao! wasikuvunje nguvu akina DA!
 
Sawasawa mtani nimekusoma na asante sana, Katoto kanalipa ila kilichonishtua ni kuambiwa kamenipendea mapishi ya utumbo,lakini hamna noma wacha nijaribu kujitosa tuanze mambo ya ich bin.

mwambie kwanza......................Ich liebe dich
 
Back
Top Bottom