Kaburi la mwaka...

Mkare

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2010
Posts
504
Reaction score
79


Wanajamii, kwa wale ambao wenzangu na mie ambao tulikuwa bado hatujaona aina hii ya kaburi. Naona binadamu tunapoelekea sipo. You can imagine kaburi lina hadi flat screen na DVD Player... ha ha ha...!
 
Da, na hivyo vipodozi sijui dressing table... watu wana visa kudadadeki...
 
Huu ni ujuha na upuuzi tu kama upuuzi mwingine unaofanyika hapa dunian...........
 
Huu ni ujuha na upuuzi tu kama upuuzi mwingine unaofanyika hapa dunian...........
Mungu mwenyezi ni mkarimu sana, tatizo binadamu akizidishiwa na kichaa humpata, kama hajafanya hili atafanya lile!
 
haya mambo wajaribu kuyafanya bongo waone kesho yake kama hawakukuta pamechimbika na vitu hamna, bila kusahau kubeba viungo vya marehemu, lol!
 
duhh..hii kali..then jamaa wako poa tu ...full maandalizi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…