kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,666
- 4,368
Mwaka 2018 Joseph Kabila kwa kushirikiana na Chama chake cha PPRD walimuibia Martin Fayulu kura na kumtangaza Félix Kisekedi kuwa mshindi jambo ilo lilikuwa la kushangaza masikioni mwa Wakongo maana Felix Kisekedi hakuwa maarufu sana na wala hakufanya sana kampeni.
Martin fayulu alilalamika mwisho akaona isiwe case acha akubali tu Kabila akafurahi sana. Maana walikuwa na mipango yao baada ya Felix kumaliza muda wake atamuachia mke wa Kabila madaraka.
Felix madaraka yakamnogea akaona ili ni dumu vizuri kwenye madaraka ni lazima nifanye kazi na wale madui wa Kabila maana nikiungana nao nitakuwa nimemaliza Kabila.
Felix kisekedi akamuita jean pierre Bemba adui mkubwa wa Joseph Kabila akamuita vital Kamerhe yaani wale wote ambao walikuwa madui wa Kabila kipindi cha utawala wake wakapewa vyeo na Félix.
Sasa hivi wana ajenda yao mpya ya kumaliza upinzani ndani ya Kongo kwa kuwapa wapinzani makesi ya uongo, na kuchafua majina yao kwa Wakongo kuwa wapinzani ndio chanzo cha machafuko ndani ya nchi.
Eti wapinzani wana ajenda yao ya kutaka kupindua serekali, ile ile system ambayo Joseph Kabila alitumia kumkimbiza Katumbi ndani ya nchi Felix nayo anatumia kutaka kumshika Kabila na katumbi kwa kuwapa makesi ya uongo na tayari baadhi ya marafiki wa Moise Katumbi wako ndani.
Kabila baada ya kuona mambo yamekuwa magumu Kinshasa, sasa hivi amekimbilia Lubumbashi.