Felix amemkalia kooni Joseph Kabila

Felix amemkalia kooni Joseph Kabila

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,793
Reaction score
5,053
Hiki kinacho endelea ndani ya nchi zidi ya rais mstaafu Joseph Kabila.

Mimi kwangu naona safi kabisa ikiwezekana Felix amuweke ndani hata kwa kesi ya uongo
Joseph Kabila ndiye alikimbiza moise katumbi ndani ya nchi kwa kumpa kesi za uongo ili asigombee urais

Huyu kabila ndiye aliyeiba kura za Martin Fayulu.

Na kumpitisha felix kuwa rais

Huyu huyu Kabila ndiye aliye kata vipande vipande provence yetu ya grand katanga kwa kufikiri amemkomoa moise katumbi

Alicho kipanda lazima akivune felix afanye kazi yake
 
Kama kongomani mmeshindwa kuishi na mtu bora mwanachama wa jamii forum joseph kabila ni heri mumrudishe Tanganyika amalizie siku zake kwa wema baada ya Patrice lumumba kufa akiwa waziri mkuumimi namchukuliaga kabila kama raisi wa kwanza wa kongo.

Ni unyerere wake wa kitanganyika ndio ulimfanya akabidhi madaraka kwa amani . Wakongo hawapendi mtu akabidhi madaraka kwa amani, ni kuuana kama manyama na kutoka ikulu ni kwa kuuliwa tuu kama manyama ya mwituni.

Narudia Tena kama mmemchoka Kabila mrudisheni Tabata aje tuikomboe Bandari yetu
mtu chake
 
Hii shida ni kubwa sana sio ndogo kama tunavyoichukulia, na watakao kwenda kuathirika zaidi ni wasio na uwezo wala nguvu ya kupiga silaha, kikubwa nikuendelea kumwomba sana Mungu hili la hawa viongozi kuto kuelewana lipite kando basi maisha yasonge vyema. Lubumbashi ni tamu sana ila ikifurumushwa itakuwa magofu matupu.
 
Back
Top Bottom