Kabudi na Lukuvi wamehudhuria kikao cha Mawaziri kwa vyeo gani?

Akili mukichwa, Lukuvi ana nguvu kubwa na akiungana na Kabudi wanaweza kuleta shida kwenye system ya utawala wa bimkora.

Hapo anawageresha hata kama wanaelewa kwamba hawapaswi kuenda kinyume na mama, Ila anawapa at least a smooth transition from uwaziri to nobody but believe me atawamwaga ngoja uchaguzi wa spika uishe.
Lukuvi aweza kua waziri mkuu wa siku za baadae. Nadhani atamudu

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
 
Mawaziri wastaafu ,hata Maraisi wastaafu huwaga wanahudhuria vikao ,unapoambiwa Tanzania kuna mambo ya ajabu basi na hayo yamo kwenye maajabu.
 
Back
Top Bottom