Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,287
- 42,243
- Thread starter
- #21
mzee cheyo asubuhi hii kaomba ule mkanda uliorekodiwa katika kile kikao uwekwe wazi ili watanzania waone lipumba,slaa na mbatia walivyo wanafiki
Kasema slaa ndio alisema haya tumefikia muafaka,leo anashangaa walipotoka tu katika kikao cha tcd wakapinga maafikiano yaliyo fikiwa.
Kukata mzizi wa fitina ni bora mkanda ukawekwa hadharani tukajua ni nani ana kiuka makubaliano? Maana watu wanaweza wakawa wanapiga kelele nje kuhusu hela ya wananchi Kumbe kwenye kikao walikubali bunge liendelee hadi October 4