Kabla ya kuandamana ni vyema viongozi wetu wakasema walikubaliana nini na Mh Rais?Ni wakati muafaka

mzee cheyo asubuhi hii kaomba ule mkanda uliorekodiwa katika kile kikao uwekwe wazi ili watanzania waone lipumba,slaa na mbatia walivyo wanafiki

Kasema slaa ndio alisema haya tumefikia muafaka,leo anashangaa walipotoka tu katika kikao cha tcd wakapinga maafikiano yaliyo fikiwa.

Kukata mzizi wa fitina ni bora mkanda ukawekwa hadharani tukajua ni nani ana kiuka makubaliano? Maana watu wanaweza wakawa wanapiga kelele nje kuhusu hela ya wananchi Kumbe kwenye kikao walikubali bunge liendelee hadi October 4
 
mzee cheyo asubuhi hii kaomba ule mkanda uliorekodiwa katika kile kikao uwekwe wazi ili watanzania waone lipumba,slaa na mbatia walivyo wanafiki

Kasema slaa ndio alisema haya tumefikia muafaka,leo anashangaa walipotoka tu katika kikao cha tcd wakapinga maafikiano yaliyo fikiwa.

Yani witu kwenye kikao wanakubali kuwa bunge liendelee halafu Leo wana geuka na kuwambia wananchi waandamane wakati kimsingi wao wlikuwa na nafasi ya kukataa bunge kuendelea!
Huu ni unafiki bora mkanda uwekwe hadharani.
 
Namlaumu mshauri wa jk aliyeamua waandishi wa Habari wasiingie. Ni siri gani iliyokuwepo ambayo alitaka watanzania tusijue?
Matokeo yake ndiyo hayo cheyo ana yake kingunge ana yake mbowe ana yake. Ni nani mkweli? Siri!!!!

Mamndenyi mkanda wa maongezi yao hupo na Cheyo amemuomba Mh Rais uoneshwe ili kila mtu asikie walivyo kubaliana.
Hapa kuna unafiki sana.
 
Last edited by a moderator:
nchi hii siasa zimekuwa kero kwa wananchi,viongozi wamejaa tamaa na uroho wa madaraka na maendeleo yao binafsi

Sioni mwenye nia ya kweli kati ya slaa,lipumba,na mbatia wote njaa zinawatafuna.tungekuwanao huku mtaani wangekuwa waporaji sana hawa watu
 
kusoma hamjui hata picha hamuoni??
Kikwete kukubali mchakato wa katiba kuhairishwa hadi baada ya uchaguzi mkuu impliedly ameridhia bunge la katiba kusitishwa.
katumia lugha ya kistaarabu kufikisha ujumbe kwa wajumbe kujitathmini kama kuna umuhimu wa kuendelea na bunge ambalo litakuja kukaa upya baada ya uchaguzi 2015.
sasa tumepewa nafasi ya kupima na kufanya maamuzi,
in real sense hili bunge la katiba ni sawa na mtoto aliyepanda juu ya mti hadi kileleni na kushindwa kushuka anahitaji msaada wa kushushwa.

Mkuu swali la msingi ni UKawa walikubali bunge liendelee hadi October 4? Kwanini hawakuyasema yote hayo? Hapa kuna unafiki ni bora ikulu iweke hadharani mkanda wao wa maongezi!
 
UKAWA wanatengeneza mazingira ya kurudi ikulu kunywa juice

Haya yote ya pesa za wananchi kwanini hawakuyasema? Pesa za wananchi kupotea zimeonekana baada ya kumaliza kikao na Mh Rais?
 
nchi hii siasa zimekuwa kero kwa wananchi,viongozi wamejaa tamaa na uroho wa madaraka na maendeleo yao binafsi

Sioni mwenye nia ya kweli kati ya slaa,lipumba,na mbatia wote njaa zinawatafuna.tungekuwanao huku mtaani wangekuwa waporaji sana hawa watu

Yani hawa viongozi wanafiki sana ni vyema mkanda wa maongezi ukawekwa wazi kabisa!
 
Hii hoja ya kwamba eti pesa ya wananchi inapotea ni upuuzi mkubwa. Kinachoondelea bungeni ni makamilisho ya kazi ya bunge la katiba kwa ajili ya rasimu hiyo kupigiwa kura ya maoni mwaka 2016. Hiki kinachofanyika sasa hakitarudiwa tena kujadiliwa. Ninachokiona hapa ni UKAWA kuona aibu kurudi bungeni hivyo wanatumia kigezo cha fedha za umma. Ni busara tu wangetumia, warudi bungeni wakatoe michango yao kwa ajili ya maboresho ya rasimu ya katiba itakayopigiwa kura 2016.
 
Hapa suala si pesa,watu wanatumia tu kisingizio cha pesa kwamba eti zinaliwa.suala hapa ukawa wamegundua wamepigwa bao la kisigino kwani katiba inaendelea kuandikwa na wanafanya kila mbinu kutibua ili tarehe 4 october ambayo ni kama wiki tatu zijazo isifike bunge liwe limesitishwa.
 
Ndio maana tumeomba mkanda uwekwe hadharani! Hili swala la pesa za wananchi kwanini halikusemwa kwenye kikao? Ukawa wanataka kuchochea machafuko huu ni ukweli ulio wazi!
 
Warioba mwenyewe kasha sema bunge lihairishwe hakuna katiba itapatikana kwa wiki mbili jamani ccm mnaipeleka wapi nchi hiii!!
 
Hii hoja ya kwamba eti pesa ya wananchi inapotea ni upuuzi mkubwa. Kinachoondelea bungeni ni makamilisho ya kazi ya bunge la katiba kwa ajili ya rasimu hiyo kupigiwa kura ya maoni mwaka 2016. Hiki kinachofanyika sasa hakitarudiwa tena kujadiliwa. Ninachokiona hapa ni UKAWA kuona aibu kurudi bungeni hivyo wanatumia kigezo cha fedha za umma. Ni busara tu wangetumia, warudi bungeni wakatoe michango yao kwa ajili ya maboresho ya rasimu ya katiba itakayopigiwa kura 2016.

Mimi naona mkanda wa maongezi uwekwe hadharani tuone kabla ya kuandamana!
 
ninavyoona ukawa wanatamani kurudi bungeni ila wanaona aibu.ila kiongozi mzuri hawezi ogopa aibu kwenye jambo lenye kujenga kwa taifa lake
 
Pesa zinazo za wananchi wanaoteseka usahilini ni zaidi ya makubaliano ya ukwa na JK, kama walishindwa kutambua pesa zetu zina tuuma zaidi ya kusubiri bunge lisilo kuwa na hitimisho ni upuuuzi wa hali ya juu sasa ni wakati wa wananchi kuonesha tumechoka na uppuuuzi na njia ya mwanzno ni kufikisha ujumbe wa hisia zetu kwa maandamano na waacha mara moja kuchezea pesa za walipa kodi, na kama wakina JK watakuwa akitoa pesa mifukoni mwao za mishaara yao kugharamia hilo bunge lisilo na tija, Ruksa!
 
UKAWA tuambieni ni lini tuingie marabarani?? hizo gari washawasha wanazo ngapi kutuzuia umma wa watanzania?? mimi napendekeza Jtatu saa tatu tuingie kazi, maana CCM ukiwachekea wanakuona zombi.
 
Pesa zinazo za wananchi wanaoteseka usahilini ni zaidi ya makubaliano ya ukwa na JK, kama walishindwa kutambua pesa zetu zina tuuma zaidi ya kusubiri bunge lisilo kuwa na hitimisho ni upuuuzi wa hali ya juu sasa ni wakati wa wananchi kuonesha tumechoka na uppuuuzi na njia ya mwanzno ni kufikisha ujumbe wa hisia zetu kwa maandamano na waacha mara moja kuchezea pesa za walipa kodi, na kama wakina JK watakuwa akitoa pesa mifukoni mwao za mishaara yao kugharamia hilo bunge lisilo na tija, Ruksa!

Kama kweli wana uchungu na pesa za wananchi kwanini walikubali bunge liendelee October 4?
 
Back
Top Bottom