mitale na midimu JF-Expert Member Aug 26, 2015 10,420 17,722 Apr 24, 2017 #3 Hao waliovaa vitenge Kuna uwezekano wakakimbia na nguo za ndani ili miguu ijinafasi.
BAK JF-Expert Member Feb 11, 2007 124,790 288,124 Apr 24, 2017 #5 Halafu jamaa anakuja full speed na hasira tele. Daudi Mchambuzi said: Click to expand...
Victor wa happy JF-Expert Member Apr 24, 2013 11,660 11,647 Apr 24, 2017 #6 Duu hapo moja lazima azirai
muhomakilo jr JF-Expert Member Jul 28, 2013 14,821 12,887 Apr 25, 2017 #7 Hamaa waliovaa misuli,lazima tujionee sinema ya kupendeza..
Mgirik JF-Expert Member Apr 27, 2013 13,208 13,233 Apr 25, 2017 #8 Kwakuwa ni tembo wa India hakuna madhara yoyote. Ila wangekuwa wakwetu hapa kwa umbali huo tembo angesha piga mluzi wake wa hatari
Kwakuwa ni tembo wa India hakuna madhara yoyote. Ila wangekuwa wakwetu hapa kwa umbali huo tembo angesha piga mluzi wake wa hatari
Mulhat Mpunga JF-Expert Member Oct 28, 2010 27,256 16,306 Apr 25, 2017 #9 wanakimbia na hii misuli? ila wahindi na tembo ni damu damu wala hawana shida
Kingsharon92 JF-Expert Member Aug 10, 2015 7,760 10,146 Apr 25, 2017 #10 Tembo wa India ni sawa na nyoka wa Bujora makumbusho hawana madhara
KENZY JF-Expert Member Dec 27, 2015 30,263 69,504 Apr 25, 2017 #11 hlf kwa ujinga limtu linapiga kelele et laleni chini laleni chini!!! ***** atakae lala huyo hajawai kula chapati
hlf kwa ujinga limtu linapiga kelele et laleni chini laleni chini!!! ***** atakae lala huyo hajawai kula chapati
G Guasa Ambonii JF-Expert Member Aug 13, 2015 8,545 10,279 Apr 25, 2017 #14 Pana vitu havihitaji mazoezi