Kabla ya Dunia kutengenezwa kulikuwepo na nini??

Dunia Ilikuwepo Ila Ilikuwa Imefunikwa Na Maji Fuatilia Kitabu Cha Mwanzo Mungu Aliamlisha Maji Yagawanyike Ili Pakavu Paonekane Hiyo Ina Maana Dunia Ilikuwa Imefunikwa Na Maji

kwa hiyo hapa inamaanisha hakuumba dunia ila alitenganisha tu maji na ardhi?
 
Nimefuatilia leo ibada na Baba Askofu akasema binadamu tuna dhambi za asili na tuna kuvu la dhambi ya asili iliyoanzia kwa ADAM na Eva akasema wakati wakuumba dunia aliamru kitu fulani kikawa lakini alipofika kwa mwanadamu alitofaitisha amri na akasema natengeneza mwanadamu kwa mfano wangu mimi! Maana nikwamba sisi ni sehemu ya Mungu..Lakini najiuliza kabla ya uumbaji kulikuwa na nanini je Mungu kabla ya kuumba dunia na vilivyomo kulikuwaje??

Nayo nchi ilikuwa ukiwa na utupu roho wa Bwana akatulia juu ya vilindi vya maji!
 
Mnajichanganya sana wadau,Kuna Universe na Earth(World),kabla ya dunia kuumbwa,yaani kabla ya big bang kutokea,Kulikuwa giza na maji tu kwenye all universe,baada ya big bang kutokea hapo ndio dunia ikazaliwa na sayari nyingine,nyota na makolokolo yote yakatokea,kwa jinsi Mungu alivyoipenda dunia(earth sayari) ndipo alipofanya makazi ya binaadam kwa kutenga maji ysliofunika dunia kwa kuleta Nchi kavu na pia kuleta mwanga.

✅Naomba majibu ya nyie atheists Kama binadamu ametokana na evolution na natural selection,iweje atokeee mwanamke na mwanamme? Kwanini asingetokea mwanamke tu peke yake au mwanamme peke yake? nini kilichofanya Hiyo evolution itenganishe jinsia?
Mkuu ina maana mungu hakuumba universe na magalaxy yote??
 
Kipimo cha Mungu ni uwepo wako. Unaweza kuniambia wewe umetokea wapi?

Am the product of nature,, and i was born not created. The stars died so that i could be here, we are the product of star dusts. Ask me if you nee more explanations.
.... free ideas....
 
Yet the all might god, the creator of the
universe and its billions of stars and
planets and all the mountains and rivers
on earth and the variety of life forms,
chooses a Buddha, a Moses, a Jesus, a
Mohammad etc and tell them his
revelations and asks them to spread the
message?.Any god would be perfectly
responsible and would have directly
spoken to all the human. Surely this task
of directly speaking to all humans is
really easy for the creator of the entire
universe.
.... free ideas....
 
?Is God willing to prevent evil, but not able?
Then he is not omnipotent.
Is he able, but not willing? Then he is
malevolent.
Is he both able and willing? Then whence
cometh evil?
Is he neither able nor willing? Then why call
him God??
...... free ideas...
 
Am the product of nature,, and i was born not created. The stars died so that i could be here, we are the product of star dusts. Ask me if you nee more explanations.
.... free ideas....

No more sir, live as you wish..
 
Mkuu ina maana mungu hakuumba universe na magalaxy yote??

Big Bang ndio iliyozaa Dunia,galaxy,jua,moon ,sayari nyingine,nyota na makolokocho yote,Mungu ndio aliyeifanya Hiyo big bang hence ndio aliyeumba.
 
Big Bang ndio iliyozaa Dunia,galaxy,jua,moon ,sayari nyingine,nyota na makolokocho yote,Mungu ndio aliyeifanya Hiyo big bang hence ndio aliyeumba.

How?, Then tell me who created god?, or dd god come from.
... free ideas....
 
why don't he/it/she reveal him/it/he self so that we may know(not believe) that he/it/she exist
Tatizo lako umekariri kuwa mpaka Mungu aje na mwili wa kibinadamu ndipo unaweza kumfahamu

Who told you that?how did you know that? , do you have direct contact with god(if exist)
Yes

I want to know(not to believe) that he/it/she real exist.
Kweli watu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Learn Who God Is and you will finally not only belive but also know him.

Good luck.
 
Maswali mengine ni magumu na hayana majibu.Biblia inasema HAPO MWANZO MUNGU ALIUMBA MBINGU NA DUNIA.Hivyo tunaanzia Mwaka 1-2015.(note Wakati Yesu anazaliwa hapa duniani ilikuwa imepita miaka zaidi ya 4,000 tangu siku za Adamu na Hawa) 4000+2015=6,015. Biblia ina historia ya miaka 6000 ya MTU DUNIANI.Kurudi nyuma ni ya HAPO Ili kujua kabla ya DUNIA ni KUJISUMBUA.
 
Hii ni dhana nyepesi sana kufikia suluhisho la "HAKUNA MUNGU" nahitaji dhana madhubuti yenye kupishana na ile ya vitabu vitukufu (Bible na holy Qur'an.)

Otherwise, wanaosema hakuna uwepo wa Mungu wamejikita zaidi kwenye sayansi ya dunia bila kupitia vitabu vya dini.

Kama itatokea ukapitia vitabu vya dini, na ukawafuatilia wanasayansi utagundua uwepo wa Mungu upo 100% pasi na shaka.

Sayansi inapwaya juu ya uwepo wa Mungu.. Haijakamilika..

Mungu Yupo.

Unaweza kutibitish wamba mngu yupo?

Hiyo dhana nepesi umeielewa?

Kama umeielewa ielezee kwa maneno yako.

Kama huwezi kuielezea,unasema ni dhana nyepesi bila kuielwa na hivyo huwezi kujadiliana na watu wanaotumia logic.
 
He gave us freedom of choosing. If u choose sin well,,,bt he must show you that ur choice was incorrect.
 
He gave us freedom of choosing. If u choose sin well,,,bt he must show you that ur choice was incorrect.

Freedom?, do you real know wat freedom mean?
Let's say i give you free choice btn A or B, that you are free to choose A or B,. But if you choose B there will be punishment. Was that freedom??.
Wat kind of god is this, who/which gives you the freedom of choice btn A or B but planning to burn you if you choose B?,

Note this young man :There might be God but not this god of the Christians, Muslims, Buddha, Jewish and so on.

....... free ideas.....
 
CONTRADICTION ON THE BIBLE

THE BIBLICAL ACCOUNT
OF CREATION
A Young Earth?
Genesis 1:16 God made two great lights?the
greater light to govern the day and the lesser
light to govern the night. He also made the
stars. God set them in the expanse of the sky
to give light on the earth.
The stars gave light to the earth immediately,
although the closest star, Alpha Centauri, is 4.3
light years away. So the very first star light
would have taken 4.3 years to reach earth. The
light we see from the Andromeda Galaxy takes
2.2 million years to reach earth, which also
debunks the argument that the earth is only
6,000-10,000 years old.
The Order of Creation
Genesis 1:11-12 and 1:26-27 Trees came
before Adam.
Genesis 2:4-9 Trees came after Adam.
Genesis 1:20-21 and 26-27 Birds were created
before Adam.
Genesis 2:7 and 2:19 Birds were created after
Adam.
Genesis 1:24-27 Animals were created before
Adam.
Genesis 2:7 and 2:19 Animals were created
after Adam.
Genesis 1:26-27 Adam and Eve were created
at the same time.
Genesis 2:7 and 2:21-22 Adam was created
first, woman sometime later .
Back to top ↑
Other Issues in the Garden
Genesis 1:31 God was pleased with his
creation.
Genesis 6:5-6 God was not pleased with his
creation.
Which raises the question, how can an
omnipotent, omniscient God create something
he?s not pleased with?
Genesis 2:3 Then God blessed the seventh
day and made it holy, because on it he rested
from all the work of creating that he had
done.
An omnipotent being required?rest?
Genesis 2:16-17 And the Lord God
commanded the man, "You are free to eat
from any tree in the garden; but you must not
eat from the tree of the knowledge of good
and evil, for when you eat of it you will surely
die."
God placed temptation in the direct path of his
two na?ve children and allowed them to be
tempted by the serpent (Genesis 3: 1-7),
resulting in a single mistake that would
contaminate hundreds of billions with a sin
nature worthy of eternal torture?
Genesis 3:1 Now the serpent was more crafty
than any of the wild animals the LORD God
had made. He said to the woman, "Did God
really say, ?You must not eat from any tree in
the garden??"
A talking snake. Enough said.
 
Freedom?, do you real know wat freedom mean?
Let's say i give you free choice btn A or B, that you are free to choose A or B,. But if you choose B there will be punishment. Was that freedom??.
Wat kind of god is this, who/which gives you the freedom of choice btn A or B but planning to burn you if you choose B?,

Note this young man :There might be God but not this god of the Christians, Muslims, Buddha, Jewish and so on.

....... free ideas.....

Punishment is ur own choice. Let's say A is water & B is corrosive substances,,,,then he gives u conditions, 'u can touch A with free hand but not B' If u go against u must see how corrosive substances Corroded ur hand.
 
A sort of blah blah, y should god, All loving, all knowing, all perfect, all powerful do that?,
Wat will your god gain by burning people into fire?, wat does it teach us?,
Young man come out of the box, karibu katika ulimwengu huru

.... free ideas......
 
Nimefuatilia leo ibada na Baba Askofu akasema binadamu tuna dhambi za asili na tuna kuvu la dhambi ya asili iliyoanzia kwa ADAM na Eva akasema wakati wakuumba dunia aliamru kitu fulani kikawa lakini alipofika kwa mwanadamu alitofaitisha amri na akasema natengeneza mwanadamu kwa mfano wangu mimi! Maana nikwamba sisi ni sehemu ya Mungu..Lakini najiuliza kabla ya uumbaji kulikuwa na nanini je Mungu kabla ya kuumba dunia na vilivyomo kulikuwaje??
Kulikuwa na muumbaji.
 
Back
Top Bottom