Kabla na baada. Inanishangaza sana

Israeli mtoa roho anakulinda ..

Muulize mkeo anajuaje Kama
Unataka majibu ya haaswaaa..
 
Mh! Huyo atakua si binadamu wa kawaida huyo. Kuna Rafiki yangu aliwahi kua na mahusiano na msichana mwenye mashetani basi kila akitaka cheat anajua kama wako. Hebu mwulize anajuaje juaje.
 

Inawezekana tu huwa hakushitukii, ila nafsi yako tu iko hai na inakuwa inajishitukia...
 
Mh! Huyo atakua si binadamu wa kawaida huyo. Kuna Rafiki yangu aliwahi kua na mahusiano na msichana mwenye mashetani basi kila akitaka cheat anajua kama wako. Hebu mwulize anajuaje juaje.

Kwanini usiseme ana roho mtakatifu na si mapepo
 
Siwezi kumuuliza coz atajua bad intation niliyokuwa nayo kwake na hiyo itamfanya asiniamini tena

Basi kaa hivyo uwe unajiuliza kila siku .
Maana mwenye jibu la kweli ni mkeo .
Hapa tunakisia tu ..
 
Mh! Huyo atakua si binadamu wa kawaida huyo. Kuna Rafiki yangu aliwahi kua na mahusiano na msichana mwenye mashetani basi kila akitaka cheat anajua kama wako. Hebu mwulize anajuaje juaje.
Umenikumbusha jamaa yangu flani alinyimwa na demu wake asile kitimoto ...kibishi akaenda kula then akazuga hajala.....kuulizwa akabisha...akaamka asubuhi kavimba mdomo hadi akashindwa kuhudhuria lecture

sasa wewe pmoses95 jaribu kucheat kama kidushelele chako hakijapotea

 
Last edited by a moderator:
Thats gud kuwa na mke kama huyo, unajua kwa sie ambao kdogo 2na religion legacy,hli suala n rahc na linawezkana kabsa kabsa.

Kuna mama meng spiritually ambayo mtmish mwaminif kwa mungu anawezapata kuhusa whas gud come or bads events to come!

Bt haya yote hayaji kwa kukurupka tu,there is some spiritual investiment.
 

Nimesema kuwa sina mawazo tena ya kucheat. Mpe pole huyo jamaa yako
 


oooooooooooooooooh, it might be
 
Mh! Huyo atakua si binadamu wa kawaida huyo. Kuna Rafiki yangu aliwahi kua na mahusiano na msichana mwenye mashetani basi kila akitaka cheat anajua kama wako. Hebu mwulize anajuaje juaje.

hizi imani hizi hapana......

ni ye mwenyewe tu anajishtukia,mkewe anakuwa
anapiga kwa nia njema tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…