Kabla hujafanya ngono bila kinga

Kabla hujafanya ngono bila kinga

Mwambie labda Lemutuz atakuelewa aisee maana yeye anaparamia.tu mitoto ya mjini anasema watamu eti
 
Watu hawasikii wala hawataki kuambiwa kuhusu hili gonjwa la UKIMWI
Kabla we msichana au mwanamke au we kijana au mwanaume hujafanya ngono bila kinga tafuta wodi za wagonjwa wa UKIMWI ukatembeleee huko kwanza then ukirudi uendelee kufanya ngono bila kinga
Nakusisitizia fanya kazi zaidi kuliko kuwaza ngono kama kicheche
Na wewe acha kula nyama ovyo na kunywa pombe maana kansa na kisukari ni hatari zaidi kuliko ukimwi ,bila kusahau malaria na figo
 
Na hizi mvua na msimu wa baridi umeanza sidhan kama utaeleweka ila ukweli ndio huo au wapite nyumba inayouguza mgonjwa wa ukimwi
Watanzania tuna safari ndefu ya kuelimika ,hamna ugonjwa unaitwa Ukimwi
 
Kwenda kupima labda unishkie tu bastola
 
SIKUHIZI UKIMWI WATU WANACHUKULIA KAMA MALARIA HAUTISHI TENA KAMA ZAMAN
Hawajakaa na mtu ambae ameupata hatumii dawa au dawazimegoma wasingeuchukulia poa. Hau hawajaijua kero ya kumeza dawa kila siku lichomozapo jua hadi siku haulioni tena.
 
Ujinga ni kutumia condom kwa kila tendo huku ukikaa kwenye ki mark x chako unawaza kufuta kisahani.
 
Back
Top Bottom