Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,945
- 67,565
Barnaba pekee yake ndio habadiliki
kweli mkuu kamwe usidharau mafanikio ya mtuWatu wanatoka mbali!
kweli mkuu kamwe usidharau mafanikio ya mtu
Hata mi huwa najiuliza huyu dangote kafanya nini ambacho hakijawahi kufanywa na waliopo na waliotangulia?Huyu Belle 9 anajua ila sijui kwa nini havumi kama mondi