Wenye timu zao.Ndio kina nani hawa?
walioiba 1.5 TNdio kina nani hawa?
Kumbe Alikiba ni mkubwa sana kiumri kwa mondi
In jiwe voiceKazi za kufanya zimepungua Tanzania.
Imagine mtu anashinda mtandaoni kujibizana ki timu.
Mi timu A mi timu B.
Tuanze kuwachapa viboko watu wa aina hii
Inawezekana maana naona Mondi kaongezeka urefu wakati kiba kabaki vile vile ila kwa upande mwingine pia naona Nasibu alikuwa mshamba enzi hizo ndo maana anaonekana dogoKumbe Alikiba ni mkubwa sana kiumri kwa mondi