OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,102
- 114,701
Kupitia TBC Habari Waziri wa Mambo ya ndani ameamuru jeshi la polisi kuachia magari yote yaliyokamatwa kwa kosa la kutokulipa kodi ya leseni ya barabara.
Mwigulu akiwa katika mkutano wa hadhara amewaelewa wananchi kwamba serikali imefuta kodi hiyo hivyo hategemei polisi kuendelea kukamata watu na kushikilia magari hayo
MY TAKE
Amri hii ya waziri imetoka kabla ya bunge kupitisha bajeti hiyo. Je, Mwigulu katumia mamlaka ipi?
Je, Mwigulu ni waziri mwenye mamlaka na kodi hiyo?Ninachofahamu mimi kodi hiyo hukusanywa na wizara ya fedha kupitia TRA na polisi inakuwa enforcement department tu lakini sio mkusanyaji, je Mwigulu amepewa na nani kuzungumzia kodi?