kyalankota
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 2,594
- 1,463
Kwani amezibwa mfumo wa upumuaji?Ni birthday yake leo jamani, muacheni apumue kidogo
Kwani amezibwa mfumo wa upumuaji?
Mama KIPARA ataua wengi,wamuweke za bandia kama Rooney.
Haka katoto brow wang mmoja kakigonga....nahis kama tutampoteza hiv..🙂🙂
hahhaha bado tu yupo?
Yupo u.s.a mkuu but ninawasisi naye...nahis any time atadondoka...
Yupi? Lulu au marehemu?hold on
hivi huyu ni kabila gani???